Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

Jmn mwenzenu Hoi taaban kwa NANDI. Ngepataga hata seconds chache tu za kuonana nae ngemwambia. Na ingetokea sasa ndo ananipa offer ya ata lisaa hv kiutu uzima uuuu uwiiiiiiii. Walahii makapuku tunaishi kwny ndoto ambazo wny pesa Wanazfanyia kaz na tukiona tunaishia kuumia tu.
Shikamoo pesa
Mzee itabidi uwe sub, nikimalizana nae zamu yako itafika. Me napenda sauti tu yaani nikisikiliza ile "one day" nasahau kabisa stress za "Wenger Out"
 
Mzee itabidi uwe sub, nikimalizana nae zamu yako itafika. Me napenda sauti tu yaani nikisikiliza ile "one day" nasahau kabisa stress za "Wenger Out"
Duuuh mkuu niwe sub [emoji15] [emoji15] [emoji15] means uko nae kwa sasa au na wewe unaish kwny dream mm[emoji28] [emoji28]
5af7cef0076d15f641e7d101fed38365.jpg
 
Niaje masela na sisterdu kama kawa kama gwala niko hapa kukuletea kajina ka haka kabinti kamoja kutoka bongo freva kabinti ambako huwa nakapenda sana

Yaan hako kabinti kana sauti tamu ni balaa yaan ni hatali haka kabinti kaana miondoko fulan ya hatari sana, na hakapend upuuzi wa mitandao na maskendo ya ajabu ajabu

Kwakweli nakapenda sana kabinti haka SI KENGINE NI MAUA SAMA

nawe waweza kuweka unakokapenda mimi kangu ndo hako wala sitaki ukakandie ukiona ni kabaya nawe weka kakoView attachment 515593View attachment 515593
Kana sauti nzuri ila kabaya aisee..kasiwe kanatoa video kabisa audio zinatosha!
Akitoa video awe anafanya kama Sia
 
sasa chaguo gan hilo ambalo halifiki hata robo ya mrembo wangu
Nampenda maua.na sitaki kumponda,lakini labda uzungumzie kipaji chake na sio kwa uzuri.
Ana sura ya mjomba.
Tulia
 
unamtumia sms za kishamba
jifanye promota uko mkoa
unataka kumleta afanye show
uliza bei yake na simu no yake..

anzia hapo
The Boss umetisha mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom