Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

Mbona hiyo mbinu ndogo sana

Anaweza kumwambia ana duka la nguo anahitaji kumtumia kwa matangazo
waonane wapi...
wadada wa instagram we waambie una biashara unataka watangaze kwenye page zao
utashangaa..
Duh we ni wa nchi hii kweli maana hayo maswaga si ya nchii hii umetisha mtu wangu endelea kupolomosha maujanja
 
Jamaa Yuko safi sana kchwani nna was was kama hakua kiranja wa zamu mirembe maana sio kwa ujiniaz huo [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Jokes.
Mimi kaniogopesha ndo maana madada zetu hudanganywa sana maana si kwa uongo huo
 
14cb403aac7431dfcb1c541874461b2a.jpg
huyo mtoto yuko vizuri sema wajanja walisha mzaliaha wakabwaga.
Nan huyo
 
Duh we ni wa nchi hii kweli maana hayo maswaga si ya nchii hii umetisha mtu wangu endelea kupolomosha maujanja
Dah we jamaa hatari kwa afya.... Weka mbali na madem[emoji15] [emoji15]
84754c25489bc753718a3122104c9d06.jpg
 
Ndio,that's y nkaanza na kusema huko vizuri.
But msikilize na Nancy mkuu. Utaelewa Nina maanisha nni...si wakumdharau Hata kidogo
Acha kulinganisha mziki mzuri wa maua na huyo sijui na nani wako

Maua ni habali nyingine kabisa, kabinti ka bongo freva ninakokapenda
 
Niaje masela na sisterdu kama kawa kama gwala niko hapa kukuletea kajina ka haka kabinti kamoja kutoka bongo freva kabinti ambako huwa nakapenda sana

Yaan hako kabinti kana sauti tamu ni balaa yaan ni hatali haka kabinti kaana miondoko fulan ya hatari sana, na hakapend upuuzi wa mitandao na maskendo ya ajabu ajabu

Kwakweli nakapenda sana kabinti haka SI KENGINE NI MAUA SAMA

nawe waweza kuweka unakokapenda mimi kangu ndo hako wala sitaki ukakandie ukiona ni kabaya nawe weka kakoView attachment 515593View attachment 515593
Mi kaugonjwa kangu kapo kwa presenta wa xxl Mamy baby yani nakazimia sana kale kadada kanaonekana kataalam sana ka kucheza na maiki kanaimeza yootee
 
Kako vizuri 6x6 katoto kakitanga hako,kanafinyia kwa ndani
Niaje masela na sisterdu kama kawa kama gwala niko hapa kukuletea kajina ka haka kabinti kamoja kutoka bongo freva kabinti ambako huwa nakapenda sana

Yaan hako kabinti kana sauti tamu ni balaa yaan ni hatali haka kabinti kaana miondoko fulan ya hatari sana, na hakapend upuuzi wa mitandao na maskendo ya ajabu ajabu

Kwakweli nakapenda sana kabinti haka SI KENGINE NI MAUA SAMA

nawe waweza kuweka unakokapenda mimi kangu ndo hako wala sitaki ukakandie ukiona ni kabaya nawe weka kakoView attachment 515593View attachment 515593
 
Nampenda sana yule mtoto Rosa Lee....Sijui mchanga yule Sijui mmasai ila nazipenda sana Swagger zake za midomo na ile style yake ya nywele
 
Back
Top Bottom