Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stereo bado hajaitoa kweli ??.....Hivi yule chemical walishamtoa ile bikra yake?
Kanapenda wazungu
Mzee itabidi uwe sub, nikimalizana nae zamu yako itafika. Me napenda sauti tu yaani nikisikiliza ile "one day" nasahau kabisa stress za "Wenger Out"Jmn mwenzenu Hoi taaban kwa NANDI. Ngepataga hata seconds chache tu za kuonana nae ngemwambia. Na ingetokea sasa ndo ananipa offer ya ata lisaa hv kiutu uzima uuuu uwiiiiiiii. Walahii makapuku tunaishi kwny ndoto ambazo wny pesa Wanazfanyia kaz na tukiona tunaishia kuumia tu.
Shikamoo pesa
Duuuh mkuu niwe sub [emoji15] [emoji15] [emoji15] means uko nae kwa sasa au na wewe unaish kwny dream mm[emoji28] [emoji28]Mzee itabidi uwe sub, nikimalizana nae zamu yako itafika. Me napenda sauti tu yaani nikisikiliza ile "one day" nasahau kabisa stress za "Wenger Out"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuuh mkuu niwe sub [emoji15] [emoji15] [emoji15] means uko nae kwa sasa au na wewe unaish kwny dream mm[emoji28] [emoji28]![]()
Tuambizane mkuu [emoji101] [emoji101] [emoji101][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu me ni mpenzi mtazamaji tu, maneno yangu yasikukatishe tamaa[emoji85]Tuambizane mkuu [emoji101] [emoji101] [emoji101]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sema one day yes[emoji126] [emoji125]Mkuu me ni mpenzi mtazamaji tu, maneno yangu yasikukatishe tamaa[emoji85]
Kaniwai mkuuStereo lazima alifanya yake si unajua tena samisago ndo aliwakutanisha
Kana sauti nzuri ila kabaya aisee..kasiwe kanatoa video kabisa audio zinatosha!Niaje masela na sisterdu kama kawa kama gwala niko hapa kukuletea kajina ka haka kabinti kamoja kutoka bongo freva kabinti ambako huwa nakapenda sana
Yaan hako kabinti kana sauti tamu ni balaa yaan ni hatali haka kabinti kaana miondoko fulan ya hatari sana, na hakapend upuuzi wa mitandao na maskendo ya ajabu ajabu
Kwakweli nakapenda sana kabinti haka SI KENGINE NI MAUA SAMA
nawe waweza kuweka unakokapenda mimi kangu ndo hako wala sitaki ukakandie ukiona ni kabaya nawe weka kakoView attachment 515593View attachment 515593
Nampenda maua.na sitaki kumponda,lakini labda uzungumzie kipaji chake na sio kwa uzuri.sasa chaguo gan hilo ambalo halifiki hata robo ya mrembo wangu
nukta,,,mjadala umefungwaKana sauti nzuri ila kabaya aisee..kasiwe kanatoa video kabisa audio zinatosha!
Akitoa video awe anafanya kama Sia
UkhutyNa binti wa JF unaempenda ni nani?[emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji4][emoji4][emoji4]Ukhuty
The Boss umetisha mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]unamtumia sms za kishamba
jifanye promota uko mkoa
unataka kumleta afanye show
uliza bei yake na simu no yake..
anzia hapo