ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
[emoji7][emoji7]nimeiona Leo hii comment swahiba wangu@ kibumbuUkhuty
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji7][emoji7]nimeiona Leo hii comment swahiba wangu@ kibumbuUkhuty
Acha roho mbaya basi mjomba hutaki nipendwe[emoji4][emoji4][emoji4]
Khaa.!!Amber rutty tena?!Huyu ni Shilole Shishi Trump,Shishi baby,Nampenda laana..
Yes tuko pamoja mkuu, hila muziki wake tuMi nakapenda haka hapa,Dayna Nyange.
![]()
Watu wengine sijui vip yani, sasa huyo unampendea nini hapo? shepu hana, sura hanaKusema kweli ningekuwa na uwezo ningemuoa huyu dada MAUA SAMA. Ila ndio hivyo
Hahahaaa Safi sanaunamtumia sms za kishamba
jifanye promota uko mkoa
unataka kumleta afanye show
uliza bei yake na simu no yake..
anzia hapo
Yes , that chick is hotYule mdada alieimba Rarua namkubalii kinouma...
Yes ,enika is superbEnika my favorite bongo flava female artist of all time
Namshukuru Mungu kwa moyo alonipa kutamani kile kilichopo ndani ya uwezo wangu no stressKiukweli maua sama yuko vizuri mno. Wimbo wake Sisikii naupenda mpaka kesho na kesho kutwa na mtondogo. Lakini kuna haka kadada kengine anaitwa Nandy. Duh!!! Ananikosha sana anamu overtake maua sama katika game kwa sasa.