Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Miaka mitano iliyopita huko Kenya binti wa Kihindi alimpenda kijana wa kibantu na kuondoka kwao kwenda kuishi nae kwenye nyumba ya kawaida kabisa kijijini kwa huyo kijana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha! Ha! Ha! Ha!hiyo bahati mbona miye hainikuti?
Ni bahati mbaya tu kuwa walikuja kuachana.
Huyo binti alijilipua mazima akatengwa ila hakujali.
Penzi lao lilikuja kufa pale yule kijana alipoamua kuoa mswahili mwenzake na yule muhindi hakuamini jinsi alivyompenda jamaa kuna siku atakuja kumuolea mke wa pili.
Anyway life goes on.
Daaaaaaaaaaaaah...! [emoji15]Ni bahati mbaya tu kuwa walikuja kuachana.