Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sote watenda dhambi lakini kila mmoja ana dhambi zake ambazo ameweka mstari hathubutu kufanya. Kwa mfano, mzinifu anakwambia kwa mpalange siendi ni dhambi lakini kuzini kama kawa. Hakimu anakwambia rushwa kubadili haki ya mjane sichukui nyingine anakula
Mambo ya vuguvugu, anakataa pombe ila anatoa mtandao pendwa
Ni nani huyo?
Ni nani huyo?
Kuwa na dhambi akukufanyi kila dhambi lazima ufanye mfano wewe unafanya uongo either kwenye mahusiano au kwenye mambo mengine lakini unaposhawishiwiwa uwe mwizi unajikuta nafsi yako inakataa na utaki ufanye kabisa ni kama kwa bibie ZuchuHuyo ni Zuchu mkuu.
alikataa dili la kufanya promo ya pombe, eti kisa dini yake ya uislamu hairuhusu.
Sasa sijui uislamu unaruhusu uimbaji wake wa bongo fleva na uvaaji wake?
Unaweza kjmkuta muislamu yupo baa analewa lakini ukimtajia nguruwe anawaka vibaya mno kuwa unamtajia kitu haramu.Kwenye Uislam kuna makundi ya dhambi.
Dhambi kubwa
Dhambi ndogo ndogo
Dhambi kubwa.
1. KUKUFURU MUNGU/KUTOAMINI KUDRA ZAKE AU REHEMA NA SHARI ZAKE
2. KUTOAMINI MITUME WAKE
3. KUTOKUSWALI
4. POMBE
5. KULA MALI ZA YATIMA
6. RIBA
7. KUWAUDHI WAZAZI WAKO
8. KUUA
9. KUZINI
10. KUWASINGIZIA WANAWAKE WATULIVU
11. ZINAA.
12. USHIRIKINA
Hizo dhambi ziepuke sana, Mwenyezi Mungu ametuasa waja wake kuwa hizo dhambi utapokufa bila kutubia basi huna msamaha.
Kutokujistiri???Kwenye Uislam kuna makundi ya dhambi.
Dhambi kubwa
Dhambi ndogo ndogo
Dhambi kubwa.
1. KUKUFURU MUNGU/KUTOAMINI KUDRA ZAKE AU REHEMA NA SHARI ZAKE
2. KUTOAMINI MITUME WAKE
3. KUTOKUSWALI
4. POMBE
5. KULA MALI ZA YATIMA
6. RIBA
7. KUWAUDHI WAZAZI WAKO
8. KUUA
9. KUZINI
10. KUWASINGIZIA WANAWAKE WATULIVU
11. ZINAA.
12. USHIRIKINA
Hizo dhambi ziepuke sana, Mwenyezi Mungu ametuasa waja wake kuwa hizo dhambi utapokufa bila kutubia basi huna msamaha.