Binti wa kiislam alikataa dili la pombe kwa vile dini yake hairuhusu

Binti wa kiislam alikataa dili la pombe kwa vile dini yake hairuhusu

Huyo ni Zuchu mkuu.
alikataa dili la kufanya promo ya pombe, eti kisa dini yake ya uislamu hairuhusu.
Sasa sijui uislamu unaruhusu uimbaji wake wa bongo fleva na uvaaji wake?
Sio kwamba hamfahamu Zuchu sema jamaa ni mtu wamatani
 
Kwenye Uislam kuna makundi ya dhambi.
Dhambi kubwa
Dhambi ndogo ndogo

Dhambi kubwa.
1. KUKUFURU MUNGU/KUTOAMINI KUDRA ZAKE AU REHEMA NA SHARI ZAKE
2. KUTOAMINI MITUME WAKE
3. KUTOKUSWALI
4. POMBE
5. KULA MALI ZA YATIMA
6. RIBA
7. KUWAUDHI WAZAZI WAKO
8. KUUA
9. KUZINI
10. KUWASINGIZIA WANAWAKE WATULIVU
11. ZINAA.
12. USHIRIKINA

Hizo dhambi ziepuke sana, Mwenyezi Mungu ametuasa waja wake kuwa hizo dhambi utapokufa bila kutubia basi huna msamaha.
Azavali kubeti haipo
 
....Nchi zetu za afrika bado kuna unafiki mkubwa sana ktk makatazo yanayohusiana na dini.

Kwa mfano: kuzini/uzinzi hausemwi sana kulinganisha na pombe, kula nyama zilizokatazwa nk.

Inawezekana kuwa walimu wanaotegemewa kufundishA athari ya zinaa na uzinzi nao ni wadau wa dhambi hizo.

Ndipo pale mtu anapokataa dili la biashara ya pombe lakini AKAZINI
 
Aliyewaletea waafrika dini aliwaharibu kisaikolojia sana na ilimuwezesha kuwatawala vizuri mno
 
Yaan haya maisha bana...kuna jamaa angu ni muislam pure..kuna demu kamfukuzia sana na akawa anazinguliwa..basi jamaa bila kukata tamaa..aliendeleza mapambano na ndio siku moja manz akaomba appointmen na mchiz..basi wakakutana sehem na manz akaulizwa unapendelea nn demu akajibu ugal na kitimoto na savanna..na pemben kuna lodge basi..vikaletwa manz akala...na kunywa na mwishowe wakazama lodge...kufanya yao..sasa nikamuuliza mchizi kwan hukula mate chap akajibu naachaje! Bas jibu hilo nikaishia tu kucheka..😂😂😂 maana yake kala mate ya manz yenye vichembechembe vya nyama ya ngurue akishushia na savanna
Hao jamaa kwa unafiki namba moja 😁😁
 
Kwenye Uislam kuna makundi ya dhambi.
Dhambi kubwa
Dhambi ndogo ndogo

Dhambi kubwa.
1. KUKUFURU MUNGU/KUTOAMINI KUDRA ZAKE AU REHEMA NA SHARI ZAKE
2. KUTOAMINI MITUME WAKE
3. KUTOKUSWALI
4. POMBE
5. KULA MALI ZA YATIMA
6. RIBA
7. KUWAUDHI WAZAZI WAKO
8. KUUA
9. KUZINI
10. KUWASINGIZIA WANAWAKE WATULIVU
11. ZINAA.
12. USHIRIKINA

Hizo dhambi ziepuke sana, Mwenyezi Mungu ametuasa waja wake kuwa hizo dhambi utapokufa bila kutubia basi huna msamaha.
Kwa andiko hili ni bora angekubali hilo dili. Ila ni aina fulani ya matangazo.
 
Kwenye Uislam kuna makundi ya dhambi.
Dhambi kubwa
Dhambi ndogo ndogo

Dhambi kubwa.
1. KUKUFURU MUNGU/KUTOAMINI KUDRA ZAKE AU REHEMA NA SHARI ZAKE
2. KUTOAMINI MITUME WAKE
3. KUTOKUSWALI
4. POMBE
5. KULA MALI ZA YATIMA
6. RIBA
7. KUWAUDHI WAZAZI WAKO
8. KUUA
9. KUZINI
10. KUWASINGIZIA WANAWAKE WATULIVU
11. ZINAA.
12. USHIRIKINA

Hizo dhambi ziepuke sana, Mwenyezi Mungu ametuasa waja wake kuwa hizo dhambi utapokufa bila kutubia basi huna msamaha.

kwahiyo sheikh wangu unawaasa nini wale ambao wanataka kuua wenzao kisa kitimoto??
 
Sawa ila siku hizi watu wanachagua dhambi kama wapo mtumbani, wasafi bet je mbona anatangaza
 
Yaan haya maisha bana...kuna jamaa angu ni muislam pure..kuna demu kamfukuzia sana na akawa anazinguliwa..basi jamaa bila kukata tamaa..aliendeleza mapambano na ndio siku moja manz akaomba appointmen na mchiz..basi wakakutana sehem na manz akaulizwa unapendelea nn demu akajibu ugal na kitimoto na savanna..na pemben kuna lodge basi..vikaletwa manz akala...na kunywa na mwishowe wakazama lodge...kufanya yao..sasa nikamuuliza mchizi kwan hukula mate chap akajibu naachaje! Bas jibu hilo nikaishia tu kucheka..😂😂😂 maana yake kala mate ya manz yenye vichembechembe vya nyama ya ngurue akishushia na savanna
😂🤣
 
Wabongo muna shida sana, Its her life its her Choice. huo wivu wote unaokuteseni wa nini?
 
Back
Top Bottom