Binti wa kiislam alikataa dili la pombe kwa vile dini yake hairuhusu

Huyo ni Zuchu mkuu.
alikataa dili la kufanya promo ya pombe, eti kisa dini yake ya uislamu hairuhusu.
Sasa sijui uislamu unaruhusu uimbaji wake wa bongo fleva na uvaaji wake?
Sio kwamba hamfahamu Zuchu sema jamaa ni mtu wamatani
 
Azavali kubeti haipo
 
....Nchi zetu za afrika bado kuna unafiki mkubwa sana ktk makatazo yanayohusiana na dini.

Kwa mfano: kuzini/uzinzi hausemwi sana kulinganisha na pombe, kula nyama zilizokatazwa nk.

Inawezekana kuwa walimu wanaotegemewa kufundishA athari ya zinaa na uzinzi nao ni wadau wa dhambi hizo.

Ndipo pale mtu anapokataa dili la biashara ya pombe lakini AKAZINI
 
Aliyewaletea waafrika dini aliwaharibu kisaikolojia sana na ilimuwezesha kuwatawala vizuri mno
 
Hao jamaa kwa unafiki namba moja 😁😁
 
Kwa andiko hili ni bora angekubali hilo dili. Ila ni aina fulani ya matangazo.
 

kwahiyo sheikh wangu unawaasa nini wale ambao wanataka kuua wenzao kisa kitimoto??
 
Sawa ila siku hizi watu wanachagua dhambi kama wapo mtumbani, wasafi bet je mbona anatangaza
 
πŸ˜‚πŸ€£
 
Wabongo muna shida sana, Its her life its her Choice. huo wivu wote unaokuteseni wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…