Binti wa Kingindo alinitoa jasho, lakini subira, uvimilivu na ubunifu vikalipa

.................=hufunzwa na ulimwengu
..................hula mbivu
nice story. inastahili like nyingi.
 
Kweli mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
uliwaza vizuri ukatoa uamuzi mzuri kutupa hadithi hii ukiiweka vizuri unaweza kiuiandikia kitabu
 
funzo ni,kuachana au kuachwa sio mwisho wa maisha,using'ang'anie ndoa kama haina muelekeo,kwani unaweza ukampata mwengine mwenye mapenzi ya dhati,hata kama mshahara wako mdogo, ukifanya kazi kwa bidii ipo siku,utafanikiwa.ukipanga maisha yako na kuweka malengo ya maisha,ipo siku utafanikiwa
 
Aaaaaash... 2 God b ze glory!Nmejfunza, yatansaidia maishan mwangu!
 
Akunyimae mbaazi kakupunguzia mashuzi..
 
hii imenikumbusha mume mwenzangu, tumeoa nyumba moja alinunua kiwanja baada ya kampuni aliyokuwa anafanyia kazi wamiliki wake kugombana na kugawana mali. Ni wazungu toka sauzi wakampa milioni 9, jamaa fasta akanunua kiwanja mkewe alipoambiwa km kiwanja kimenunuliwa, mwanamke aliongea lugha zote mbovu eti kwa nini hujanunua gari? Leo hii almost 7ys wako kwenye kigorofa, mwanamke kanunuliwa noah jamaa ana magari mengine mawili. Wanawake kwa nini mko hivi?
 
Maisha yanataka uvumilivu sana!msemo mmoja wa kwenye biblia unao sema "enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili" una maana kubwa. asante brother!
 
daaaah wanawake wengine sio kabisa
 
Mungu akutie nguvu. Akupe haja za moyo wako. Ni wanaume wachache waliopenda wake zao wanadumu nao. Saa zingine wanawake ni vimeo?????
 
habari hii inatia moyo sana na inafundisha imenijenga na imenifanya nianze kufikiria vitu vingi sana katika haya maisha
 
vukani, asante sana kwa simulizi hii yenye mafunzo mengi
 
Last edited by a moderator:
Nimependa umahili ulioutumia kuhadithia kisa hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…