funzo ni,kuachana au kuachwa sio mwisho wa maisha,using'ang'anie ndoa kama haina muelekeo,kwani unaweza ukampata mwengine mwenye mapenzi ya dhati,hata kama mshahara wako mdogo, ukifanya kazi kwa bidii ipo siku,utafanikiwa.ukipanga maisha yako na kuweka malengo ya maisha,ipo siku utafanikiwa
hii imenikumbusha mume mwenzangu, tumeoa nyumba moja alinunua kiwanja baada ya kampuni aliyokuwa anafanyia kazi wamiliki wake kugombana na kugawana mali. Ni wazungu toka sauzi wakampa milioni 9, jamaa fasta akanunua kiwanja mkewe alipoambiwa km kiwanja kimenunuliwa, mwanamke aliongea lugha zote mbovu eti kwa nini hujanunua gari? Leo hii almost 7ys wako kwenye kigorofa, mwanamke kanunuliwa noah jamaa ana magari mengine mawili. Wanawake kwa nini mko hivi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.