Akizingatia ushauri huo naamini kuna neema inamtafuta ya kupata dili ya kuendesha maisha yake. Tena awe mstaarabu haswaaaa.Usichukulie kama ndo kakupenda kimapenzi, inawezekana kwa kitendo chako cha uungwana anataka kukupa dili ila wewe unawaza tu chini.
Nakushauri ukutane naye na uwe mstaarabu tu usikimbilie kuongea ujinga, yeye ndo ameomba muonane, mpe nafasi aongoze mjadala.
Kama akiamua kukutunuku ngozi, tesa kucha hasa. Mjini msingi kiuno pia akikupa dili, baki na uungwana na uaminifu. Usimuangushe
Basi weka akiba ya maneno,ukifika 40 unaweza kukusaidia
Ningesema nina 21 ungesema subiri nikifika 30. Kuchepuka ni uamuzi wa hiyari,hakuna umri unaolazimisha mtu kuchepuka. Na hakuna jema ambalo mtu huvuna kwa kuchepuka zaidi ya majanga tu.basi weka akiba ya maneno,ukifika 40 unaweza kukusaidia
Umri unaendana na matukio na changamoto nyingi katika mahusiano, 30 bado kidogo. na mimi sijasema kucheka ni jambo jemaNingesema nina 21 ungesema subiri nikifika 30. Kuchepuka ni uamuzi wa hiyari,hakuna umri unaolazimisha mtu kuchepuka. Na hakuna jema ambalo mtu huvuna kwa kuchepuka zaidi ya majanga tu.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Sio lazima useme directlyumri unaendana na matukio na changamoto nyingi katika mahusiano, 30 bado kidogo. na mimi sijasema kucheka ni jambo jema
HariaAlikuwa anapush ndinga gani?
Mkuu ndiyo maana kukawepo behind the scine, mengine tunaeleza ili kuokoa muda mambo yasiwe mengiKidumu cha lita5 kiingie mafuta 20k[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Chai ya moto sana hii
Haria ndo gari gani bro au ndo "car from chattle"[emoji12][emoji12]Haria
Unaijua bei yake lakini hiyo HarriereHaria ndo gari gani bro au ndo "car from chattle"[emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23]Nakushauri telekeza familia[emoji852][emoji852]
Buheri mazee
Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla ilitoka pisi kali Sana ikaniita"samahani kaka" nikasema bila samahani, Gari yangu imeisha mafuta na cjatembea na akiba hivi shell Iko wapi maeneo haya nikasema kama unadumu nipe nikakuchukulie ingawa Iko mbali kidogo akasema Sina, nikamwambia nipe hela nitajua huko huko Cha kufanya ingawa alionekana kusita ila alinipa kiasi Cha elfu 20 nikaenda fasta pale shell nikajaribu kuongea na mlinzi wa pale shell anisaidie kidumu bahati nzuri akanipatia kidumu Cha ltr5 nikampoza buku2000 Kisha nikaenda kupimiwa mafuta.
Nikachukua bodaboda ili aniwaihishe fasta tulipofika pale alipo yule binti alivyoniona tuu alitoa tabasamu murua na kusema nilidhani utaingia mitini si unajua Imani imekwisha sikuizi, nikasema hata kama ningekimbia na elfu 20 yako isingefanya niwe bakheresa shida zingebaki pale pale tuu, akasema nikweli ila nivijana wachache Sana wenye mawazo kama yako.
Basi akaweka Yale mafuta hatimae akawasha kitu kikakubari akanishukuru pia akanipa albino mmoja aisee kwakua nilikuwa nimepigika kutwa nzima nilishukuru Sana kwani nilipata pakuanzia kwa mama watoto, basi akaniomba na namba za simu nilisita kumpa ila ikanilazimu tubadirishane namba.
Zikapita Kama siku mbili akanipigia tukaongea mengi Sana ila kubwa alinisifia Sana kwa ukarimu na uaminifu wangu kisha akaniomba nitenge siku tukutane ili tufahamiane zaidi.
Sasa wakuu Mimi Nina mke na huyu manzi kaonyesha kunielewa na ukicheki kwao Wana mawe daah najuta kuoa mapema asa sijui nifanyeje ili ala ikae panga mbili na sijamwambia kuwa Nina mke namtoto.
Mwanaume hakuumbwa kuwa na mke mmoja. Ongeza uwe nao wawili. Hata kondoo akizaa dume wafugaji hukasirika hata papai likiwa dume huwa linakatiliwa mbali.Buheri mazee

Hajui kuwa akienda anaweza kupewa dili la kusafirisha bangeUsichukulie kama ndo kakupenda kimapenzi, inawezekana kwa kitendo chako cha uungwana anataka kukupa dili ila wewe unawaza tu chini.
Nakushauri ukutane naye na uwe mstaarabu tu usikimbilie kuongea ujinga, yeye ndo ameomba muonane, mpe nafasi aongoze mjadala.
Kama akiamua kukutunuku ngozi, tesa kucha hasa. Mjini msingi kiuno pia akikupa dili, baki na uungwana na uaminifu. Usimuangushe
Nipe connectionMke wangu ananipenda sana
Alipata Dharula nje ya nchi ila nashukuru alinipoza kidogoTunaomba Mrejesho Mzee baba.
#YNWA