Binti wa kishua kanipenda ila nina mke na mtoto

Binti wa kishua kanipenda ila nina mke na mtoto

Hizi sasa husda
Jiangalie wewe wa lini na mimi ni wa lini humu ... Unayaleta hayo malink ili iweje labda !!? ...tag mamoderator wote ... Eti Umeoa ..umenogeshwa na kaponjori kwenye kwao vyedi unaulizwa ushauri ... Wewe mwanaume kweli !!?? Sawa unaweza kuwa mwanaume ..Je una sifa ya kuwa Mume!?? ... Acha ujinga kua
 
Hii nayo chai tu yani wakishua atoke anaenda Safari ndetu asichek geji ya mafuta..gari sio bajaji bn
 
Nakushauri telekeza familia☹☹
huu ushauri wa Kipumbavu sana!
Kijana kaombwa tu kutoka out, imeshakuwa kuoa? kwani kila rafiki wa jinsia tofauti ni wa kufaya Ngono?
Badala ya kumshauri mwenzetu labda aombe kusaidiwe mtaji wa kuendesha familia yake, unamshauri upuuzi kama huo; Shame!
 
Wewe ni mtu pekee ambaye hajaelewa huu ushauri mzuri. Shame
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Acha u Nyandindi, yaani mtu akikuomba TU mtoke tayari unaona kakupa mwandu? Baaaah bwana wewe bahh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom