Binti wa kishua kanipenda ila nina mke na mtoto

Binti wa kishua kanipenda ila nina mke na mtoto

Pole sana dadangu kajua kutuletea sadaka ya sisi free mason hapa home
 
Usihusishe umasikin wako na mapenz directly kwenye kila kitu, kakuomba utenge siku mje mfahamiane vizuri hiyo siku ww mwambie ukwel wa life lako kuwa umeoa na una familia(hapa sifia zaidi kuwa na familia, elezea ni kwajinsi gan unafurahia kuona familia yako ikiwa inafuraha, na kwajins gan unajitaid kuilinda furaha ya familia yako ), hii itamfanya aone ww kwel ni mwanaume na sio mvulana, atajua ni kwajins gan unathamini watu wako na kuwalinda.

Faida ya kumweleza hiv ni kuwa atakuona ww ni mwaminifu zaid ya alivyo fikria, unathamin watu zaid ya alivyo fikria, utampa moyo wa kukusaidia( kukuconnect na watu watakao kusaidia kwenye shughuri zako au yy mwenyewe kusupport shughuri zako). Hayo ya kukupenda wewe yaondoe akilin mwako kwanza
Ila dalili niliziona tangu siku ile mkuu anyway nitafuata ushauri wako mkuu ahsante
 
Usihusishe umasikin wako na mapenz directly kwenye kila kitu, kakuomba utenge siku mje mfahamiane vizuri hiyo siku ww mwambie ukwel wa life lako kuwa umeoa na una familia(hapa sifia zaidi kuwa na familia, elezea ni kwajinsi gan unafurahia kuona familia yako ikiwa inafuraha, na kwajins gan unajitaid kuilinda furaha ya familia yako ), hii itamfanya aone ww kwel ni mwanaume na sio mvulana, atajua ni kwajins gan unathamini watu wako na kuwalinda.

Faida ya kumweleza hiv ni kuwa atakuona ww ni mwaminifu zaid ya alivyo fikria, unathamin watu zaid ya alivyo fikria, utampa moyo wa kukusaidia( kukuconnect na watu watakao kusaidia kwenye shughuri zako au yy mwenyewe kusupport shughuri zako). Hayo ya kukupenda wewe yaondoe akilin mwako kwanza
Ushauri mzuri sana huu brother, sisi vijana tunavimambo fulani vinavyotushusha sana.
 
Bro, siku zote mwanamke hana huruma na maisha yako, na pengine labda ni kwasababu hua hawaoni kama kuna hatari yoyote mbeke ya safari au they dont care ata all.
Kwaio ukiruhusu mwanamke akushikie akili zako atazishika kwelikweli na atazitumia effectively.
Nashukuru mkuu kwa mchango wako
 
Hili jamaa lishawaza ngono tayari! Wewe kukuambia mkutane tu tayari ushajua unaenda kutongozwa?

Eti unajuta kuoa mapema, aisee unasikitisha sana! Mpende mkeo acha uasherati ndugu.
Mkuu kwa umri nilikuwa nao najua anachomaanisha na jana nimetoka kuongea naye akinisisitiza ile ahadi yetu ndani ya weekend hii
 
Umeoana; eti "akaniambia leo sikutembea na akiba" hivi kumbe watu wanatembea na mafuta ya akiba wakati tenki ni empti!

Hii chai haina hata sukari
Mkuu wengi huweka mafuta kwenye Buti la gari Kule nyuma
 
Hamnaga demu wa kishua anaeishiwa mafuta kwenye gari we boya!

Taa ikiwaka tu ngoma inaingia TOTAL inapigwa wese mpaka mshale unagota kwenye Mswaki au Fadhili (F)! Demu anatembelea gari ambayo inawaka taa mpaka inazima unamuona wa kishua?
Mkuu elewa hivyo ndiyo ilishatokea
 
Sikia man Hacha mawazo hasa nenda uongee naye msikilize mfanye awe mtu wako(rafiki) connection na mchongo ya pesa uanzia kwa watu hujui huyo dada ni nani huenda anaweza kukusaidia kupata connection/kazi nzuri.

Kuhusu mapenzi msikilizie akimwaga mtama wewe mchana umeoa kama atataka zaidi ya hapo fresh tu Kuona siyo sababu ya kushindwa kupiga away games za dharura[emoji23]muhimu Check agya
Nakazia
 
Back
Top Bottom