heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Hahaaa mjini hapaa unanikumbusha wimbo wa Mr P unaoitwa paloma video yake ni kisa chako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe si mwaminifu? Onesha!Buheri mazee
Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla
Wewe humpendi?Mke wangu ananipenda sana
Glass is always greener on the other side...akikutana na wakishua tena atajilaumu tu tena na tenaEti najuta kuoa mapema..aisee
Sikia mwambie ukweli kuwa una mke,kama vile ulivyomfanyia kweli kwa kumletea mafuta na hukula hela zakeBuheri mazee
Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla ilitoka pisi kali Sana ikaniita"samahani kaka" nikasema bila samahani, Gari yangu imeisha mafuta na cjatembea na akiba hivi shell Iko wapi maeneo haya nikasema kama unadumu nipe nikakuchukulie ingawa Iko mbali kidogo akasema Sina, nikamwambia nipe hela nitajua huko huko Cha kufanya
Kuna vitu vinasikitisha sana!!Eti najuta kuoa mapema..aisee
Kabisa yani!Haya mambo inabidi uyapitie ukiwa bado hujaingia ktk Ndoa.
La sivyo tutegemee nyuzi za ivi kila siku.
Atiiiii [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15],! Akienda tu hachomoki walahi!!Nenda kamsikilize kwanza halafu utuletee mrejesho
Kama yupo humu ndio ushakosa tunda tena kama fikra zako zinavyokutuma....Buheri mazee
Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla ilitoka pisi kali Sana ikaniita"samahani kaka" nikasema bila samahani, Gari yangu imeisha mafuta na cjatembea na akiba hivi shell Iko wapi maeneo
Kwahiyo wenye magari yote ni matajiri??Mke wangu ananipenda sana
“Akateleza sio akaniteleza”Mhhh "akawasha gari akaniteleza....... ".
Gahawa.
Wewe jamaa siyo Mwanaume wa shoka, Yaani kuambiwa utenge siku moja mkutane umefurahi hivi na unasema amekuelewa,akikupa kabisa si utachanganyikiwa??.Buheri mazee
Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla ilitoka pisi kali Sana ikaniita"samahani kaka" nikasema bila samahani, Gari yangu imeisha mafuta na cjatembea na akiba hivi shell Iko wapi maeneo haya nikasema kama unadumu nipe nikakuchukulie ingawa Iko mbali kidogo akasema Sina, nikamwambia nipe hela nitajua huko huko Cha kufanya ingawa alionekana kusita ila alinipa kiasi Cha elfu 20 nikaenda fasta pale shell nikajaribu kuongea na mlinzi wa pale shell anisaidie kidumu bahati nzuri akanipatia kidumu Cha ltr5 nikampoza buku2000 Kisha nikaenda kupimiwa mafuta.
Nikachukua bodaboda ili aniwaihishe fasta tulipofika pale alipo yule binti alivyoniona tuu alitoa tabasamu murua na kusema nilidhani utaingia mitini si unajua Imani imekwisha sikuizi, nikasema hata kama ningekimbia na elfu 20 yako isingefanya niwe bakheresa shida zingebaki pale pale tuu, akasema nikweli ila nivijana wachache Sana wenye mawazo kama yako.
Basi akaweka Yale mafuta hatimae akawasha kitu kikakubari akanishukuru pia akanipa albino mmoja aisee kwakua nilikuwa nimepigika kutwa nzima nilishukuru Sana kwani nilipata pakuanzia kwa mama watoto, basi akaniomba na namba za simu nilisita kumpa ila ikanilazimu tubadirishane namba.
Zikapita Kama siku mbili akanipigia tukaongea mengi Sana ila kubwa alinisifia Sana kwa ukarimu na uaminifu wangu kisha akaniomba nitenge siku tukutane ili tufahamiane zaidi.
Sasa wakuu Mimi Nina mke na huyu manzi kaonyesha kunielewa na ukicheki kwao Wana mawe daah najuta kuoa mapema asa sijui nifanyeje ili ala ikae panga mbili na sijamwambia kuwa Nina mke namtoto.