Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Usihusishe umasikini wako na mapenzi directly kwenye kila kitu, kakuomba utenge siku mje mfahamiane vizuri hiyo siku ww mwambie ukwel wa life lako kuwa umeoa na una familia(hapa sifia zaidi kuwa na familia, elezea ni kwajinsi gan unafurahia kuona familia yako ikiwa inafuraha, na kwajins gan unajitaid kuilinda furaha ya familia yako ), hii itamfanya aone ww kwel ni mwanaume na sio mvulana, atajua ni kwajins gan unathamini watu wako na kuwalinda.
Faida ya kumweleza hiv ni kuwa atakuona ww ni mwaminifu zaid ya alivyo fikria, unathamin watu zaid ya alivyo fikria, utampa moyo wa kukusaidia( kukuconnect na watu watakao kusaidia kwenye shughuri zako au yy mwenyewe kusupport shughuri zako). Hayo ya kukupenda wewe yaondoe akilin mwako kwanza