Binti wa kishua kanipenda ila nina mke na mtoto

Binti wa kishua kanipenda ila nina mke na mtoto

Sikia man Hacha mawazo hasa nenda uongee naye msikilize mfanye awe mtu wako(rafiki) connection na mchongo ya pesa uanzia kwa watu hujui huyo dada ni nani huenda anaweza kukusaidia kupata connection/kazi nzuri.

Kuhusu mapenzi msikilizie akimwaga mtama wewe mchana umeoa kama atataka zaidi ya hapo fresh tu Kuona siyo sababu ya kushindwa kupiga away games za dharura[emoji23]muhimu Check agya
 
Buheri mazee

Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla ilitoka pisi kali Sana ikaniita"samahani kaka" nikasema bila samahani, Gari yangu imeisha mafuta na cjatembea na akiba hivi shell Iko wapi maeneo haya nikasema kama unadumu
Mbona cjaona sehemu Kama anakupenda
 
Kuna hii kauli huwa siiskii ikisound vizuri katika akili yangu.

1)Vijana wa siku hizi (kwani kuna tabia gani mpya vijana wa zamani hawajawahi kuwa nayo?)
Vijana wa zamani hawa kupata nafasi ya kukutana na madem wenye hela, madem wa zaman walikuwa hawana hela, ambao Leo ndiyo wazaz wetu Mama zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"akasema tukutane tufahamiane zaid" (mwamba kikojoleo kikaanza kucheza), hivi mazee tumelogwa, huyo mtoto kama ni wakishua, si mkutane muongee michongo, utafute hela!! mkeo mpole ameshakuzalia namtoto unawaza kumwacha!!
.
.
ukifika kuwa wazi, kama anamichongo mfanye wote.
 
Utaenda kuharibu sasa; huenda anakuita kwa ajili ya lunch/dinner au anataka kukuungisha ktk mchongo maana inawezekana amegundua umechoka hali duni hivyo anataka kukusaidia

tumia hiyo fursa kupata konekshen badala ya kuwaza mapenzi.

after all mtoto wa kishua anaishiwaje mafuta ghafla hivyo😁😁😁😁
 
Uaminifu unalipa sana wewe nenda kamsikilize huyo binti usitangulize mbele shida au tamaa zako. Kamsikilize anataka nn kwako cha ziada utajua maongezi yake yanamwelekeo upi hapo ndio mwanzo wa kujua malengo yake.,anzia hapo kisha endelea kusoma mchezo wote hatimae utakipata kilichojificha kwa huyo binti wakishua.
 
Mkuu usipoteze bahati hiyo.....siku ya kukutana usisahau Condom pia mueleze ukweli kuwa unifamilia hiyo itakuwa sehemu yako ya kupunguzia stress za Maisha
 
Back
Top Bottom