JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
🤣🤣🤣🤣Hamnaga demu wa kishua anaeishiwa mafuta kwenye gari we boya!
Taa ikiwaka tu ngoma inaingia TOTAL inapigwa wese mpaka mshale unagota kwenye Mswaki au Fadhili (F)! Demu anatembelea gari ambayo inawaka taa mpaka inazima unamuona wa kishua?
Embu vaa viatu vya mtoto wake halafu ndo umekutana na uzi wa mshua.....