Usiogope, kufeli darasani sio kufeli maisha. Maisha yako na Shule yake nyingine Kabisa, MUNGU akutangulie Kwenye hitaji lako.Habari ndugu zangu
Kwa majina naitwa mwamimi shafii naishi Arusha
Umri 21
Jinsia :KE
Elimu: four ila nilifeli nilipata leaving tu
Baba yangu alifariki mama yangu yupo
Msaada wenu wakupata kibarua chochote niweze kujikimu
Namba zangu za simu :
0760 832567
0693 405648
πππ hamkosenagi nyieMali safi
Ulishapata ajira?πππ hamkosenagi nyie
HapanaUlishapata ajira?
Endelea kutafuta.Hapana
Sasa hivi nimewekeza nguvu zaidi kwenye kujiajiri suala la kutafuta ajira silipi kipaumbele sanaEndelea kutafuta.