Mributz
Senior Member
- Aug 29, 2022
- 177
- 527
- Thread starter
- #21
Madogo wa mtaaani Hawa hata jamii forum haijui just a supportYote heri.
Shida n kwamba hii accpunt hua imekaa kidalali dalali.. sasa kila mtu awe makini
Humu wema wapo maaana hii SI mara ya kwanza
Huwa wanakuja kunishukuru
Mm pia naamini Kwa mungu kwenye kusaidia watu
ILA HAKUNA UBAYA WOWOTE
WENYE NIA MSAIDIENI DOGO