Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... unamaanisha wa kuchora?Hao simba ni wale tunaowaona hata pale taifa hawana madhara
Duuh!! Mtani ikibidi ipo haja ya jamii zetu kubadili hii mitazamo kuhusu mtoto wa kike.
😀😀Hao simba ni wale tunaowaona hata pale taifa hawana madhara
Ilikuwa inahitajika passport ya Simba kwaajili ya kitambulisho, baada ya hapo ataenda kumpiga komba, ngonyani, mapunda, tembo na wengineo, hiyo ilikuwa huko songea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu photographer anahitaji tuzo [emoji91] na yupo serious kwenye kazi yake.
Ni kweli kabisa...siku zote hizo mpaka walipofika watu huyo mtoto Alikuwa anakula Nini?! Ukweli wa stori hii ni asilimia 2 tu..Hadithi ya kuipa kick Tourism ethiopia
😃😃Hao simba ni wale tunaowaona hata pale taifa hawana madhara
editing hii😃😃
Hii ni kweliNi kweli kabisa...siku zote hizo mpaka walipofika watu huyo mtoto Alikuwa anakula Nini?! Ukweli wa stori hii ni asilimia 2 tu..