Binti wa miaka 19 anayedai kuwa na ujauzito wa Papa Wemba ajitokeza hadharani

Binti wa miaka 19 anayedai kuwa na ujauzito wa Papa Wemba ajitokeza hadharani

Wakongo watukutu sana.

Mkuu kwa wanamuziki maarufu sio ajabu.Wanawake bila kujali umri wao ni dhaifu sana hata kama hawapati manufaa ya kuonekana zaidi ya sifa.Chukulia kwa mfano tu maana sina uhakika/ushahidi wa mwanamuziki Diamond usishangae wanawake aliokwisha tembea nao wakinyoosha mkono nyuma ya mwingine wakafika Morogoro.Hakipo wanachokipata kwake cha maendeleo zaidi ya sifa.Wengine huona fahari wakijitaja wenyewe.Tunamwombea mafanikio na maisha marefu ila ikitokea kaanguka leo utashangaa watakaojitokeza na watoto wengi tu wataletwa.Vivyo hivyo kwa watu wote maarufu.
 
Hiyo kweli kabisa cha ajabu hawajitokez wakat wa uhai bali huja baada yakifo cha muhusika hivyo kututia shaka na madai yao
 
Back
Top Bottom