mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
KENYA: Msichana wa miaka 9 ni miongoni mwa wajawazito
Msichana wa miaka tisa kutoka kaunti ya Murang'a nchini Kenya ni mmoja wa wasichana wa shule ambao wamebeba ujauzito katika kijiji cha Ithanga, ambacho kimeathirika pakubwa kwa janga hilo kwani watoto wengi wa shule wamepewa ujauzito.
Waziri wa Elimu George Magoha amewatupia lawama wazazi kutokana na kuongezeka kwa visa vya watoto wajawazito, akisema ni wajibu wa wazazi kuhakikisha watoto wao wanawajibika vilivyo kipindi hiki ambapo wako nyumbani baada ya shule kufungwa kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona.
Source: CRI Kiswahili