Kingine ni mbegu aliyoiacha huku kwa mama Mtanzania!Kipi cha ajabu hapo. Unafahamu huyo Makau Mutua (baba mtu) alisomea wapi shahada yake ya kwanza ya sheria?
Vp kaolewa!Hongera zake, a chip off the old block, hehehe kweli wasije wakamkatalia mbali na kuagiza waarabu wanaowapiga hela balaa.... Yule Mmisri aliwapiga sana.
Shemeji huyoo mzee babaKipi cha ajabu hapo. Unafahamu huyo Makau Mutua (baba mtu) alisomea wapi shahada yake ya kwanza ya sheria?
Vp kaolewa!
Nauliza tu
Ova
Segerea uoga wakoYuko hapo Bongo kama hakimu mkazi, nenda ukamtupie mistari japo uwe makini Segerea isikuhusu.
Segerea uoga wako
Unafikiri hkuna Mwanamke asiyependa tongozwa
Ova
Utaratibu wa uraia kwa tanzania sio unatoka kwa baba?Kingine ni mbegu aliyoiacha huku kwa mama Mtanzania!
We Gari unaona ufahariNdio maana nikasema uwe makini, anatongozeka lakini sio kwa zile zuga zenu za uswazi, azima gari na koti nenda Oysterbay wakati anapata msosi kisha cheza show fulani hapo akuelewe.
Au sio. Huyo Makau namfahamu vizuri tu. Alikuwa ni mmoja wa kundi la wanafunzi kama saba hivi waliokimbilia Tanzania baada ya jaribio la Hezekiah Ochuka "Awour" kumpindua Moi 1982. Amshukuru Prof. Kanywanyi alivyowashughulikia kupata ukimbizi na kuendelea masomo UDSM ingawa mmoja wao alifariki, na maiti yake tuliiaga pale Nkrumah Hall. Huyo nyang'au asifikiri hatujui yote haya.Kingine ni mbegu aliyoiacha huku kwa mama Mtanzania!
Au sio. Huyo Makau namfahamu vizuri tu. Alikuwa ni mmoja wa kundi la wanafunzi kama saba hivi waliokimbilia Tanzania baada ya jaribio la Hezikiah Ochuka "Awour" kumpindua Moi 1982. Amshukuru Prof. Kanywanyi alivyowashughulikia kupata ukimbizi na kuendelea masomo UDSM ingawa mmoja wao alifariki, na maiti yake tuliiaga pale Nkrumah Hall. Huyo nyang'au asifikiri hatujui yote haya.
Duh, Humu kuna wahenga. Heshima yako mkuu.
Pande zote mbili baba au mama.Utaratibu wa uraia kwa tanzania sio unatoka kwa baba?
kwa akili za kisisiemu za kushughulikia wanaowakosoa, sitashangaa kuanzia leo huyo mdada akianza kufatiliwa na mamlaka ili wajue misimamo yake ya kisiasa.Au sio. Huyo Makau namfahamu vizuri tu. Alikuwa ni mmoja wa kundi la wanafunzi kama saba hivi waliokimbilia Tanzania baada ya jaribio la Hezekiah Ochuka "Awour" kumpindua Moi 1982. Amshukuru Prof. Kanywanyi alivyowashughulikia kupata ukimbizi na kuendelea masomo UDSM ingawa mmoja wao alifariki, na maiti yake tuliiaga pale Nkrumah Hall. Huyo nyang'au asifikiri hatujui yote haya.
Upuuzi mtupu.kwa akili za kisisiemu za kushughulikia wanaowakosoa, sitashangaa kuanzia leo huyo mdada akianza kufatiliwa na mamlaka ili wajue misimamo yake ya kisiasa.
ukute anaye comment kwa ile ID ni yule profesa uchwara wa jalalani.Ni liccm tatizo huwa yanatolewa akili
Muacheni binti wa watu afanye kazi yake aliyoisomea. hamkawi kuanza kuhoji uraia wake.Upuuzi mtupu.