Binti wa Mkenya Prof. Makau Mutua kuamua kesi kortini Dar-es-salaam kama Hakimu Mkazi

Binti wa Mkenya Prof. Makau Mutua kuamua kesi kortini Dar-es-salaam kama Hakimu Mkazi

waltham

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,522
Reaction score
1,045
Makau Mutua

Follow · June 18 ·

Huge congrats to my daughter — now Hon Mueni Mutua — who’s just been sworn in as Resident Magistrate in Dar-es-Salaam, Tanzania.

Sijui watasema hawamtaki kama Ms Mulinge wa Safaricom waletewa mwingine toka UARABUNI Misri kwani hawa jirani zetu wana kadhia za chuki!!

1137892
 
Hongera zake, a chip off the old block, hehehe kweli wasije wakamkatalia mbali na kuagiza waarabu wanaowapiga hela balaa. Yule Mmisri aliwapiga sana.
 
Yuko hapo Bongo kama hakimu mkazi, nenda ukamtupie mistari japo uwe makini Segerea isikuhusu.
Segerea uoga wako
Unafikiri hkuna Mwanamke asiyependa tongozwa

Ova
 
Segerea uoga wako
Unafikiri hkuna Mwanamke asiyependa tongozwa

Ova

Ndio maana nikasema uwe makini, anatongozeka lakini sio kwa zile zuga zenu za uswazi, azima gari na koti nenda Oysterbay wakati anapata msosi kisha cheza show fulani hapo akuelewe.
 
Kingine ni mbegu aliyoiacha huku kwa mama Mtanzania!
Au sio. Huyo Makau namfahamu vizuri tu. Alikuwa ni mmoja wa kundi la wanafunzi kama saba hivi waliokimbilia Tanzania baada ya jaribio la Hezekiah Ochuka "Awour" kumpindua Moi 1982. Amshukuru Prof. Kanywanyi alivyowashughulikia kupata ukimbizi na kuendelea masomo UDSM ingawa mmoja wao alifariki, na maiti yake tuliiaga pale Nkrumah Hall. Huyo nyang'au asifikiri hatujui yote haya.
 
Au sio. Huyo Makau namfahamu vizuri tu. Alikuwa ni mmoja wa kundi la wanafunzi kama saba hivi waliokimbilia Tanzania baada ya jaribio la Hezikiah Ochuka "Awour" kumpindua Moi 1982. Amshukuru Prof. Kanywanyi alivyowashughulikia kupata ukimbizi na kuendelea masomo UDSM ingawa mmoja wao alifariki, na maiti yake tuliiaga pale Nkrumah Hall. Huyo nyang'au asifikiri hatujui yote haya.

Duh, Humu kuna wahenga. Heshima yako mkuu.
 
Huyo atakuwa mtoto wake aliyempata akiwa anasoma Tanzania
 
Au sio. Huyo Makau namfahamu vizuri tu. Alikuwa ni mmoja wa kundi la wanafunzi kama saba hivi waliokimbilia Tanzania baada ya jaribio la Hezekiah Ochuka "Awour" kumpindua Moi 1982. Amshukuru Prof. Kanywanyi alivyowashughulikia kupata ukimbizi na kuendelea masomo UDSM ingawa mmoja wao alifariki, na maiti yake tuliiaga pale Nkrumah Hall. Huyo nyang'au asifikiri hatujui yote haya.
kwa akili za kisisiemu za kushughulikia wanaowakosoa, sitashangaa kuanzia leo huyo mdada akianza kufatiliwa na mamlaka ili wajue misimamo yake ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom