Binti wa Mkenya Prof. Makau Mutua kuamua kesi kortini Dar-es-salaam kama Hakimu Mkazi

Binti wa Mkenya Prof. Makau Mutua kuamua kesi kortini Dar-es-salaam kama Hakimu Mkazi

Utaratibu wa uraia kwa tanzania sio unatoka kwa baba?
Kasome Vizuri katiba. Mzazi mmoja anaweza kuwa baba Au mama. Kama wakati anazaliwa Mzazi wake mmoja akiwa Mtanzania huyo ni Mtanzania
 
Au sio. Huyo Makau namfahamu vizuri tu. Alikuwa ni mmoja wa kundi la wanafunzi kama saba hivi waliokimbilia Tanzania baada ya jaribio la Hezekiah Ochuka "Awour" kumpindua Moi 1982. Amshukuru Prof. Kanywanyi alivyowashughulikia kupata ukimbizi na kuendelea masomo UDSM ingawa mmoja wao alifariki, na maiti yake tuliiaga pale Nkrumah Hall. Huyo nyang'au asifikiri hatujui yote haya.
Dah! Kumbe !
Heshima mob mkuu
 
Back
Top Bottom