Binti wa Mramba anafanana na mama Anna

Binti wa Mramba anafanana na mama Anna

peter maro anatumia ubini na jina la babu yake mzaa mama yaani samson maro. ninajua ni member humo jamvini ni vema akaliweka hili wazi

...and then what? Hii habari itakusaidiaje wewe au mimi?
 
...and then what? Hii habari itakusaidiaje wewe au mimi?

This was setting the record straight and a bit of overenthusiastic going the extra mile coupled with a not so politically correct and possibly reverse JF privacy rules violation .

On the original question I fail to see the resemblance, at least nothing beyond my "Chinese eye's mind" which sees most -if not all- africans as lookalikes, pretty much the way some African person would see the Chinese as lookalikes.

Was the original poster Chinese by any means?

Or just infatuated with some twist of unverified misinformation?
 
Duh! kama ndiye yeye toka tumboni kwa mama mkubwa, basi waliokuwepo kwenye sherehe watutonye iwapo mama mkubwa na/au BWM wa/alikuwepo. Mikao na mimacho yao ilikuwajewaje pale kwenye mishuguliko. Si unajua tena kwenye masuala haya, unaweza kujikausha lakini stepu fulanifulani unajisahau.

inasemekana kuwa si BWM wala mama aliyehudhuria sherehe hizo!!!!!!
 
inasemekana kuwa si BWM wala mama aliyehudhuria sherehe hizo!!!!!!

Lakini kanisani mama alikuwepo, na ndiye aliongea na viongozi wa kanisa kuwapoteza maboya waandishi wa habari wapi na saa ngapi harusi inafungwa.
 
Mramba amezaa na Anna watoto wawili....
 
Check unavyofanana na yule mzee jirani yenu.hata hivyo si baba yako au mama yako wamewahi kulitolea ufafanuzi.hayo ya mramba na wanawe yanakuwasha vipi?
 
mbona hata wewe unafananishwa na vigogo 3,ila watu wanakuheshimu hawakusemi......heshima hainunuliwi...!
 
Back
Top Bottom