Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
- Thread starter
-
- #61
Uzuri kwa urefu au sura labda urefu sura sijampa cr
Ah Ange, you are such a beauty, wow! look at that angelic perfection, yaani she's got those come-get-me thighs yay! that caramel complexion mxiiiiiii. Mimi nimekuwa nam-follow huyu mtoto kwenye twitter. Sio tu bomba bali pia ni mwingi wa busara na mcha Mungu. Ah Rwanda si mchezo. Kigali nitarudi tena. Watoto wa kinyarwanda hasa watutsi ni wakali sana. Urakhoze Ange urakhoze!
http://newsofrwanda.com/wp-content/uploads/2012/12/Ange-Kagame-left-President-Paul-Kagame-Centre-and-Cyomoro-Ivan-KagameT.jpg[/IMG]
Hongera maana kimbunga naona hakijakupiga mweleka chini, ila oparesheni ya pili itakuwa tornadoe sijui kama utapona maana mpaka sungusungu watakuwepo.
Jipange mkigali!!
Humble African ha ha ha hapana mkuu mimi kimbunga hainihusu kwa kuwa mimi ni mtanzania halisi. Nilipata bahati ya kwenda Kigali mara kadhaa. Kimbunga or not bado nawakubali sana mabinti wa kinyarwanda.
ndo hadi unamlilia!She is a simply stunner one, nimekapenda buure.
mmmh!wangekuwa wangu faster DNA test,yaani warefu kunizidi!
What the ---- z ths! tenniss player au!!!??
aa wapi
Hii siredi ni yangu na nimeanzisha mimi hapa, so kuweka picha isiwe sababu ya wewe kutoa kashfa na matu.si..nitakuchukulia hatua sasa hivi.
Blaliifuli!
Matusi ni nini?