Binti wa Paul Kagame anafaa kuwa hata Miss World

Binti wa Paul Kagame anafaa kuwa hata Miss World

Hawa watutsi huwa ni wazuri sana sio utani ila wana roho ya kisasi au unaweza kusema revenge.Nliwahi bahatika kuwa nao darasa moja wakati nasoma huko Kenya,ni wakarimu na wazuri ila ukimwoa ndugu yangu lazima atarudi kwao tu aolewe tena na Kabila lake hata Kama umezaa nae.
 
Kafanana na baba yake, wa kawaida sanaaaaaa!
 
Hata mama yake pia ni mzuri Mashallah....
 
Kazuri zuri jamani,Mbona hata mkewangu mtusi na hajaenda kuolewa kwao?
 
Tuache ROHO mbaya,penye kusema ukweli lazima tuseme. Huyo binti ni mzuri haswaaaaa! Pia jamii ya watusi kwa kweli MUNGU amewajalia uzuri.
 
Mbona wakawaida sana,hata beki 3 wetu hajampata mkibisha ntaweka picha
Wacha kuponda hivyo aisee noriega. Toto hilo ni show sana linafaa kuwa supa modo wa dunia - huo urefu ndo umodo wenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Mbona wa kawaid tuuu, kuna Wanyarwanda wanakimbiza kwa urembo, huyu binti wa Kagame haoni ndani
 
Back
Top Bottom