Binti wa Raila Odinga, Rosemary ni mfano wa kuigwa

Binti wa Raila Odinga, Rosemary ni mfano wa kuigwa

Ukishakuwa na uhakika wa maisha unaweza kufanya chochote ukiwa na uhakika hata ukifeli utaendelea kuishi.

Masikini wanasoma sana wakiamini kama elimu haitamkomboa basi hatakuwa na kimbilio lingine.
 
Ukishakuwa na uhakika wa maisha unaweza kufanya chochote ukiwa na uhakika hata ukifeli utaendelea kuishi.

Masikini wanasoma sana wakiamini kama elimu haitamkomboa basi hatakuwa na kimbilio lingine.
Hata matajiri wanasoma sana pia. Umekariri wewe.
 
Nikukumbushe tu huyo ni mtoto wa bilionea..
Raila ni moja ya Richest man in Kenya
Ona hiyo mansion yake ya kisumu 1 bill kshs sawa na billioni kama 20 za Tanzania
Screenshot_20220529-212152_1.jpg
 
Hiyo Ni hobby tu Kama Kikwete kulima MAHINDI na nanasi.

Kujishughulisha Ni sehemu ya mazoezi.

Hapo hatafuti utajiri, Kodi ya nyumba Wala mlo wa mchana.
 
Attachments

  • Screenshot_2022-05-23-13-19-28-596_com.twitter.android.png
    Screenshot_2022-05-23-13-19-28-596_com.twitter.android.png
    253.9 KB · Views: 19
sijaona kama Rose ni mrembo au wengine mnasemaje?
 
Hiyo Ni hobby tu Kama Kikwete kulima MAHINDI na nanasi.

Kujishughulisha Ni sehemu ya mazoezi.

Hapo hatafuti utajiri, Kodi ya nyumba Wala mlo wa mchana.
Sasa kama Mali ya Raila pekee inawashtua sasa mkiona ya Kenyatta na Moi [emoji23][emoji23][emoji23].
Bila kuweka Kirubi na SK.Macharia
 
Huyu ndiye aliyesema Olduvai Gorge ipo Kenya pale UN sio?

Akakogeshwa mitusi mwaka mzima!
 
Back
Top Bottom