Binti wa TB Joshua kuolewa Arusha

Yaani wewe jamaa hujui lolote unatapika tu ni petroleum engineer jamaa anapiga mzigo pale gasprom naija delta sasa unakuja na bla bla kibao jamaa anakwenda kusali tu kama waumini wengine acha akili zakuambiwa
... kwani ukiwa mwanakwaya kanisani huruhusiwi kuwa na profession nyingine bro? Kwaya ni kazi ya kujitolea tu isiyo na mshahara.
 
Mchaga kaona fursa, shenzi kabisa! Kaoa kwa malengo huyu, nilisoma kwenye mtandao kuwa T.B Joshua kamtoa dogo sana.

Wacha niitafute

 
Kwani TB Joshua mwenyewe anasemaje?
 
mwaume mzuri kuliko bi harusi. Hapa ndio unakuja usemi wa gold-digger
Siku zote wanaume wenye muonekano mzuri hupendwa na wanawake wa aina hiyo. Halafu wale wenye muonekano kama wa Remmy Ongala au Mzee Wasira, hao sasa ndiyo hupendwa na Pisi Kali.
 
Tb Joshua ana watoto wanne na wote ni wa kike.Hivyo huyo sio binti yake pekee.Tb Joshua hana mtoto wa kiume hata mmoja.
 
Ilishafungwa, ndo nawashangaa!
Tena you tube ipo!
Haikuwa ya kimila ya church kabisa!
Na hata wageni walikuwa wachache,sherehe ndogo tu!
Ila huku kwa mwanaume lzm waje pia!
Pole sana, najua Catholic notions mlizowekewa kichwani ndio inakutesa! Hawakufunga Church, sasa ndio inafungwa rasmi! Nafikiri unajua pia Kanisa Katoliki halifungi ndoa kiholela kuna hatua za makubaliano kama watoto kuwa Wakatoliki n.k na lazima prophet anajua na ameridhia.
 
Petroleum engineering upate muda wa kwaya tokea lini?
... kwa hiyo unadhani wanakwaya wote makanisani hawana busy schedule kuliko petroleum engineers? Kama huwezi kupangilia muda wako sio kila mtu hawezi kufanya hivyo!
 
Wewe kaa kwa kutulia hujui lolote wewe kwanza kwaya ni wito na muda siyo kila mtu anaweza kumudu kuimba kulingana na mazingira yaani ujue hilo, hapa baltimore niache kufanya kilichonileta nikaimbe kwaya? wakati nyumbani sikuwahi! Kujua sehemu yakuabudu ni muhimu kuliko unachokiwaza wewe. Sasa endelea kutetea hoja yako mfu maana sikutaka kuchambua waimba kwaya sababu wanamtumikia mungu,Nawasilisha.
... kwa hiyo unadhani wanakwaya wote makanisani hawana busy schedule kuliko petroleum engineers? Kama huwezi kupangilia muda wako sio kila mtu hawezi kufanya hivyo!
 
Huyu jamaa yupo njema. Kuna testimony aliitoa scoan mwishoni mwa 2015 alionyesha picha ya mjengo wao na magari.
 
Aiseee nimesoma hapo story yake..Kumbe yy ndo alitransform maisha ya kwao baada ya maombezi ya His Father Inalaw?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…