Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 1,023
- 3,334
Unajitekenya mwenyewe na kucheka haha
Haya switch account ujijibu.
anawasha ID moja anazisifia na kuziita ID nyingine alizozima then baadae anajirudi anakuja kujimaliza huku na sorry nyingi kujichukulia upepo humu jukwaani
Kwamba na mimi umenishirikisha kama I’d ya Binti wa zamani auanawasha ID moja anazisifia na kuziita ID nyingine alizozima then baadae anajirudi anakuja kujimaliza huku na sorry nyingi kujichukulia upepo humu jukwaani
usishangae hizo IDs zoote mmiliki mkuu ni adriz de mbusii
No, nilihitaji uone maana ulimtag huyo bintiKwamba na mimi umenishirikisha kama I’d ya Binti wa zamani au
Hapo Sawa mkuu nilidhani umenihusisha na id ya kikeNo, nilihitaji uone maana ulimtag huyo binti
She makes the forum to be on good mood.Her love stories are perfect and amazing.I am always bored when his not around.I like thread she normally posting on the forum.
😅unaandika namba yako alaf unaipiga, unaiskilizia kwa makini 🤣Unajitekenya mwenyewe na kucheka haha
Hahaha😅unaandika namba yako alaf unaipiga, unaiskilizia kwa makini 🤣
Hivi kumbe ni huyu.?Afadhali umeghairi kujiua. Kimalkia kilichonyooka kama hiki tungekipata wapi? Sasa kingekuwa kinatafunwa na funza tu dah!
Maisha yangu yalipo nikama yamenikalia. Nimesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa.
Na tena mimi tuh ndio mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike.
Maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria ni mbinu gani ntakayo tumia nifike ahera mapema.
- mlevi sugu
- Replies: 218
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Ni yeye. Naona alighairi 👏👏👏Hivi kumbe ni huyu.?
Samia anaongoza vichaa ila jf sio ya vichaamtandao wa vichaa huu.ngoja niende zangu kupush matangazo insta
Mpaka form 6 nanilkuw na division 1 nmesomea chuo kikuu UDSM nimesomea sheria na pia mm np sai JWTZ
Is na theVingeredha😬
Mkuu hadi wewe unaingia humu kuninafikia 😂😅unaandika namba yako alaf unaipiga, unaiskilizia kwa makini 🤣
😅 ni jokes tuMkuu hadi wewe unaingia humu kuninafikia 😂
Hakuna mwanasheria wa hii wewe!Mpaka form 6 nanilkuw na division 1 nmesomea chuo kikuu UDSM nimesomea sheria na pia mm np sai JWTZ
Uanasheria haulip kwa sasa nmeamua kujiung JWTZ napg dabo bi mkubwaHakuna mwanasheria wa hii wewe!
Dogo huwa unanichekesha sana unajua!Uanasheria haulip kwa sasa nmeamua kujiung JWTZ napg dabo bi mkubwa
mbn huwa unapenda kuniita DogoDogo huwa unanichekesha sana unajua!
Sasa si mdogo'etu au?mbn huwa unapenda kuniita Dogo