Bandika picha mkuu.Elezea umbo lake likoje eg upana wa Kiuno,Urefu,rangi mweusi au mweupe,makalio makubwa ua madogo,mguu chupa ya bia au spoke za baiskeli.Hiyo master kamali za chuo gani ?,anafanyakazi ?,kabila gani ?,dini gani ?,je unahitaji mahari kiasi gani usijekuta unatafuta mtaji wa kutokea ?.
Huyo punda au farasi!!?Urefu usipungu 1.5 m
Jamani kama unahitaji mke siyo gf, naomba nipm
binti yangu ameniomba nimtafutie, siyo ameshindwa ila ni utaratibu tulio kubaliana naye
uwe mrefu
mcheshi
unaye penda suti
gari lolote jipya dogo
uwe na pesa za kawaida, nyingi si kikwazo
binti yangu anaumri wa miaka 20
ana masters ya sheria (haki za binadamu).
Nyie kizazi cha dotcom mnatuita sie mazuzu, bahati yako, mwanangu wa kiume angesha kupiga kibuti.
Kama wewe ni baba, bado mvulana mno, kama ni mama bado kigori, kueni kwanza ndo mje hapa.
Bandika picha mkuu.Elezea umbo lake likoje eg upana wa Kiuno,Urefu,rangi mweusi au mweupe,makalio makubwa ua madogo,mguu chupa ya bia au spoke za baiskeli.Hiyo master kamali za chuo gani ?,anafanyakazi ?,kabila gani ?,dini gani ?,je unahitaji mahari kiasi gani usijekuta unatafuta mtaji wa kutokea ?.
Nahisi huyu dada elimu yake ya masters haija mkomboa ndiyo maana baba yake anambandikia bango huku.
Nashukuru mzee ila najua hata nikikwambia unipe bure utanipa ila simtaki kwani wewe mwenyewe amekuwa mzigo kwako mi ndo ntamweza?
all the best