Binti yangu anahitaji mume

Binti yangu anahitaji mume

Nipigie

Senior Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
121
Reaction score
7
Jamani kama unahitaji mke siyo gf, naomba nipm

binti yangu ameniomba nimtafutie, siyo ameshindwa ila ni utaratibu tulio kubaliana naye

uwe mrefu

mcheshi

unaye penda suti

gari lolote jipya dogo

uwe na pesa za kawaida, nyingi si kikwazo

binti yangu anaumri wa miaka 20

ana masters ya sheria (haki za binadamu).
 
souds kama joke flan hivi!
af masters ya sheria na miaka 20??
mh! si bishi ila nadoubt sana.
anyway, kila la kheri.
 
Bandika picha mkuu.Elezea umbo lake likoje eg upana wa Kiuno,Urefu,rangi mweusi au mweupe,makalio makubwa ua madogo,mguu chupa ya bia au spoke za baiskeli.Hiyo master kamali za chuo gani ?,anafanyakazi ?,kabila gani ?,dini gani ?,je unahitaji mahari kiasi gani usijekuta unatafuta mtaji wa kutokea ?.
 
nakutakia kila la kheri ktk kumtafutia mchumba my daughter wako. Nalog off
 
Bandika picha mkuu.Elezea umbo lake likoje eg upana wa Kiuno,Urefu,rangi mweusi au mweupe,makalio makubwa ua madogo,mguu chupa ya bia au spoke za baiskeli.Hiyo master kamali za chuo gani ?,anafanyakazi ?,kabila gani ?,dini gani ?,je unahitaji mahari kiasi gani usijekuta unatafuta mtaji wa kutokea ?.

Mahari hadi tukuone.
 
nani aliwaambia mume anatafutwa hivi?wewe na huyo mwanao mazuzu....
 
20yrz ana masterz? acha uongo, jipange uje na adisi ingine
 
nani aliwaambia mume anatafutwa hivi?wewe na huyo mwanao mazuzu....

Nyie kizazi cha dotcom mnatuita sie mazuzu, bahati yako, mwanangu wa kiume angesha kupiga kibuti.
 
Jamani kama unahitaji mke siyo gf, naomba nipm

binti yangu ameniomba nimtafutie, siyo ameshindwa ila ni utaratibu tulio kubaliana naye

uwe mrefu

mcheshi

unaye penda suti

gari lolote jipya dogo

uwe na pesa za kawaida, nyingi si kikwazo

binti yangu anaumri wa miaka 20

ana masters ya sheria (haki za binadamu).

Kuna vilivyo bora kuliko suti na gari dogo.
 
Nyie kizazi cha dotcom mnatuita sie mazuzu, bahati yako, mwanangu wa kiume angesha kupiga kibuti.

Kama wewe ni baba, bado mvulana mno, kama ni mama bado kigori, kueni kwanza ndo mje hapa.
 
Acheni mwenzenu amtafutie binti yake mmume, binti zenu wanajiuza huko mitaani mbona mpo kimya??
 
Bandika picha mkuu.Elezea umbo lake likoje eg upana wa Kiuno,Urefu,rangi mweusi au mweupe,makalio makubwa ua madogo,mguu chupa ya bia au spoke za baiskeli.Hiyo master kamali za chuo gani ?,anafanyakazi ?,kabila gani ?,dini gani ?,je unahitaji mahari kiasi gani usijekuta unatafuta mtaji wa kutokea ?.

Hiyo ya upana wa kiuno inabidi baba mtu akampime mwanae..... dah haya ngoja tusubiri vipimo
 
Nahisi huyu dada elimu yake ya masters haija mkomboa ndiyo maana baba yake anambandikia bango huku.
Nashukuru mzee ila najua hata nikikwambia unipe bure utanipa ila simtaki kwani wewe mwenyewe amekuwa mzigo kwako mi ndo ntamweza?
all the best
 
Utandawazi mzee mwenzangu.
 
Back
Top Bottom