Binti Yangu na Paka Wake

Binti Yangu na Paka Wake

Mzee Said Mohamed, asalaam aleykum. Nafurahi kusoma kila andiko lako. Uandishi wako hauchoshi msomaji, natamani nisome na kusoma tena kila ukiandika.

Wewe ni mmoja wa watu nitawasifia kabla ya mauti yao. Una kipawa kweli-kweli kwenye simulizi. Hongera.
 
Tatizo lake udini,asingekuwa mdini angetisha !
 
Kwanini ukasome shule kikafiri kwa mtu kama wewe ambae kabla ulishaenda madrasa na ukafundishwa kuwa" hakika hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mufuate mila yao?

Kumbe Mzee amesoma shule ya wa katoliki St joseph convenant school iliyo chini ya kanisa la St joseph posta.
 
Mzee Said Mohamed, asalaam aleykum. Nafurahi kusoma kila andiko lako. Uandishi wako hauchoshi msomaji, natamani nisome na kusoma tena kila ukiandika.

Wewe ni mmoja wa watu nitawasifia kabla ya mauti yao. Una kipawa kweli-kweli kwenye simulizi. Hongera.
The Traveller,
Wewe Sindbad?

Ahsante.
 
Kumbe Mzee amesoma shule ya wa katoliki St joseph convenant school iliyo chini ya kanisa la St joseph posta.
Freshman,
Nimesoma shule hiyo.

Kumbukumbu zangu za shule hizo sitaweza kuzisahau.
Kubwa nililopata katika shule hii ni lugha ya Kiingereza.
 
Tatizo lake udini,asingekuwa mdini angetisha !
Makulaga,
Hili la udini mimi nalisikia kwenu.

Sababu ni kuwa hamkupata kusomeshwa historia ya Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Mkiamini Nyerere ndiye aliyefanya yote mliyokuwa mnaelezwa.

Nilipokuja na historia yenyewe ya uhuru mmeumia sana lau kuwa niliyoandika hakuna anaeweza kupinga kuwa si kweli.

Lakini katika vyuo vikuu nilivyoaliokuwa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, na katika wasomi waliokifanyia book review kitabu changu hakuna aliyenishutumu kwa udini.

Wote wamechukulia kitabu hiki kama ''Corrective History,'' yaani historia iliyosahihisha historia iliyokuwapo na ikaaminika.

Unatumia kipimo gani kujua kuwa ''natisha'' au ''sitishi?''
 
Unatisha ...upo vizuri,tatizo lako ni kaudini! Yaani unachomekeaga vitu vidogo! Mfano hata waliomsaidia Mwalimu mambo madogo tu nao ulitaka waandikwe..! Anyway ,huo ninmtàzamo wangu ila nakukubali Kwa mambo mengi! Bravo!
 
Maulana,
Lipi kubwa linalostahili na lipi dogo lisilostahili.

Tafadhali nifahamishe.
 
Freshman,
Nimesoma shule hiyo.

Kumbukumbu zangu za shule hizo sitaweza kuzisahau.
Kubwa nililopata katika shule hii ni lugha ya Kiingereza.

Mimi pia nimesoma hapo. Ikiwa inaitwa Forodhani primary school
 
Back
Top Bottom