The Traveller1
Member
- Jan 6, 2020
- 36
- 139
Tatizo lake udini,asingekuwa mdini angetisha !Mzee Said Mohamed, asalaam aleykum. Nafurahi kusoma kila andiko lako. Uandishi wako hauchoshi msomaji, natamani nisome na kusoma tena kila ukiandika.
Wewe ni mmoja wa watu nitawasifia kabla ya mauti yao. Una kipawa kweli-kweli kwenye simulizi. Hongera.
Kwanini ukasome shule kikafiri kwa mtu kama wewe ambae kabla ulishaenda madrasa na ukafundishwa kuwa" hakika hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mufuate mila yao?
The Traveller,Mzee Said Mohamed, asalaam aleykum. Nafurahi kusoma kila andiko lako. Uandishi wako hauchoshi msomaji, natamani nisome na kusoma tena kila ukiandika.
Wewe ni mmoja wa watu nitawasifia kabla ya mauti yao. Una kipawa kweli-kweli kwenye simulizi. Hongera.
Freshman,Kumbe Mzee amesoma shule ya wa katoliki St joseph convenant school iliyo chini ya kanisa la St joseph posta.
Makulaga,Tatizo lake udini,asingekuwa mdini angetisha !
Unatisha ...upo vizuri,tatizo lako ni kaudini! Yaani unachomekeaga vitu vidogo! Mfano hata waliomsaidia Mwalimu mambo madogo tu nao ulitaka waandikwe..! Anyway ,huo ninmtàzamo wangu ila nakukubali Kwa mambo mengi! Bravo!Makulaga,
Hili la udini mimi nalisikia kwenu.
Sababu ni kuwa hamkupata kusomeshwa historia ya Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Mkiamini Nyerere ndiye aliyefanya yote mliyokuwa mnaelezwa.
Nilipokuja na historia yenyewe ya uhuru mmeumia sana lau kuwa niliyoandika hakuna anaeweza kupinga kuwa si kweli.
Lakini katika vyuo vikuu nilivyoaliokuwa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, na katika wasomi waliokifanyia book review kitabu changu hakuna aliyenishutumu kwa udini.
Wote wamechukulia kitabu hiki kama ''Corrective History,'' yaani historia iliyosahihisha historia iliyokuwapo na ikaaminika.
Unatumia kipimo gani kujua kuwa ''natisha'' au ''sitishi?''
Maulana,Unatisha ...upo vizuri,tatizo lako ni kaudini! Yaani unachomekeaga vitu vidogo! Mfano hata waliomsaidia Mwalimu mambo madogo tu nao ulitaka waandikwe..! Anyway ,huo ninmtàzamo wangu ila nakukubali Kwa mambo mengi! Bravo!
Freshman,
Nimesoma shule hiyo.
Kumbukumbu zangu za shule hizo sitaweza kuzisahau.
Kubwa nililopata katika shule hii ni lugha ya Kiingereza.