AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
- Thread starter
- #21
Sijawai sikia king kiba kachukua tuzo za kimataifa at a siku moja.zaidi za pombe.unamfezeesha na ukanyee jela.
Tatizo la vijana wa Mlugo mnadhani kabla ya instagram hakukuwa na Tuzo za kimataifa hahahaha, Kwanza sidhan kama hata tuzo za BEFATA unazijua wewe zaid ya kuzijua hizi tuzo mandazi kama Afrima za kununua kwa mafungu.
Kwa taarifa yako mkuu, tuzo zilikuwepo hata kabla ya wewe kuijua instagram, take a note of that.