Tatizo la vijana wa Mlugo mnadhani kabla ya instagram hakukuwa na Tuzo za kimataifa hahahaha, Kwanza sidhan kama hata tuzo za BEFATA unazijua wewe zaid ya kuzijua hizi tuzo mandazi kama Afrima za kununua kwa mafungu.
Kwa taarifa yako mkuu, tuzo zilikuwepo hata kabla ya wewe kuijua instagram, take a note of that.