Biography ya Julius Nyerere

Biography ya Julius Nyerere

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
BIOGRAPHY YA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Ndugu zangu nimepokea ujumbe huo hapo chini:

"Jana nilihudhuria Seminar juu ya Biography ya Mwalimu Nyerere pale Council Chamber Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.

Jina lako limetajwa miongoni mwa waliotoa mchango mkubwa wakati wa mahojiano kuiandaa Biography ya Mwalimu Nyerere akiwemo Salim Ahmed Salim na Jenerali Ulimwengu.

Hongera sana Mwalimu Mohamed Said

Ujumbe huu kanitumia Salim Abdul.

Nami nimemjibu hivi:
"Alhamdulilah.

Hakika shukurani zote zinamstahikia Allah muumba wa mbingu na ardhi."
 
Attachments

  • IMG-20220528-WA0002.jpg
    IMG-20220528-WA0002.jpg
    73.7 KB · Views: 16
  • IMG-20220528-WA0003.jpg
    IMG-20220528-WA0003.jpg
    41.6 KB · Views: 16
BIOGRAPHY YA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Ndugu zangu nimepokea ujumbe huo hapo chini:

"Jana nilihudhuria Seminar juu ya Biography ya Mwalimu Nyerere pale Council Chamber Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.

Jina lako limetajwa miongoni mwa waliotoa mchango mkubwa wakati wa mahojiano kuiandaa Biography ya Mwalimu Nyerere akiwemo Salim Ahmed Salim na Jenerali Ulimwengu.

Hongera sana Mwalimu Mohamed Said

Ujumbe huu kanitumia Salim Abdul.

Nami nimemjibu hivi:
"Alhamdulilah.

Hakika shukurani zote zinamstahikia Allah muumba wa mbingu na ardhi."
Mkuu Maalim Mohamed Said , hongera na ubarikiwe sana.
Nimeanzisha TV Talk Series iitwayo "Kwa Maslahi ya Taifa" imeisha anza kuruka hewani periodically, kwenye baadhi ya vituo, kuanzia this July, itaruka weekly kwenye TV, from time to time nitakualika kuchambua baadhi ya hoja zenye maslahi kwa Taifa, zikiwemo baadhi ya issues ambazo zinaonekana kama taboos kama udini, ukanda na ukabila.
Karibu.
P
 
P...
Ukinialika nitakuja In Shaa Allah.
 
Back
Top Bottom