Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biomedical Engineering kwa level ipi? Diploma au Bachelor?Nimepata taarifa miaka kadhaa ya nyuma DIT ilikua inatoa hii course. Naomba kujua kwa upana kidogo inahusika na vitu gani? Kwa wenye taarifa au utaalamu wa hii course pia ajira zake ziko vipi
cjajua kama hujaelewa swal lang au labda unanitafsilia viunganishi vya neno biomedical engineering? Mkuu mm nmetaka upana kidogo inahusika na vitu gani hasa, ajira zake baada ya kuhitim na vtu kama hvo sio maana yake kwa kiswahilihapo hujaelewa nini
Bio?
Medical?
Engineering?
Arusha Tech hakuna...!?Inapatikana muhimbili pekee, inachukuliwa na PCM pkee
Arusha Tech hakuna...!?
Yeah matengenezo na wakati mwingine kucontrolOk chief, inahusika kwenye matengenezo ya hvo vifaa au kvp boss
Sio muhimbili tu mkuu, DIT,ATC,MUST wanatoa hiyo na zaidi ya yote ATC wanatoa bach za hiyo mamboInapatikana muhimbili pekee, inachukuliwa na PCM pkee
Sio muhimbili tu mkuu, DIT,ATC,MUST wanatoa hiyo na zaidi ya yote ATC wanatoa bach za hiyo mambo
Mkuu kwa ushahidi zaidiKaka acha kupotosha wanajf. Umesoma TCU guidebook ya mwaka huu? Njoo na ushahidi Course hiyo ipo Muhimbili tu.
Mkuu kwa ushahidi zaidiView attachment 1550526View attachment 1550527
TCU wakati mwingine hawaorodheshi kozi zote mkuu, hilo nimelishuhudia sio Mara mojaLabda Kam wameziongea lakini kulingana na TCU guidebook ATC hiyo course haipo
Undergraduate Admission Guidebook for 2020/2021 Academic Year
(For Holders of Form Six Qualifications)
16
Arusha Technical College (ATC), Arusha
S/N Programme Code Admission Requirements
Minimum
Institutiona
l Admission
points
Admission
Capacity
Programme
Duration
(YRS)
1. Bachelor Degree in
Computer Science
AT003 Two principal passes in the following subjects: Physics,
Advanced Mathematics, Geography, Biology, Economics or
Chemistry.
4.0 30 3
2. Bachelor Degree in
Information
Technology
AT004 Two principal passes in the following subjects: Physics,
Advanced Mathematics, Geography, Biology, Chemistry, or
Economics.
4.0 20 3