TCU wakati mwingine hawaorodheshi kozi zote mkuu, hilo nimelishuhudia sio Mara moja
Asante kwa kunifahamisha hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TCU wakati mwingine hawaorodheshi kozi zote mkuu, hilo nimelishuhudia sio Mara moja
Karibu!Asante kwa kunifahamisha hilo
Elimu ya kibongo/kiafrika hata usome level kubwa utaishia kuoperate mashine zilizotengenezwa majuuOk chief, inahusika kwenye matengenezo ya hvo vifaa au kvp boss
Uongo huu, Biomedical iko DIT na inaitwa Diploma in Biomedical equipment engineering, Pia ipo Arusha technical College both Diploma and Degree ambayo ndio kama kitovu cha hii course, muhimbili pia ipo na MUST pia ipo diplomaInapatikana muhimbili pekee, inachukuliwa na PCM pkee
Arusha Technical ndo chuo cha kwanza kutoa hio Degree hapa nchini na graduates wa kwanza wamemaliz mwaka janaLabda Kam wameziongea lakini kulingana na TCU guidebook ATC hiyo course haipo
Undergraduate Admission Guidebook for 2020/2021 Academic Year
(For Holders of Form Six Qualifications)
16
Arusha Technical College (ATC), Arusha
S/N Programme Code Admission Requirements
Minimum
Institutiona
l Admission
points
Admission
Capacity
Programme
Duration
(YRS)
1. Bachelor Degree in
Computer Science
AT003 Two principal passes in the following subjects: Physics,
Advanced Mathematics, Geography, Biology, Economics or
Chemistry.
4.0 30 3
2. Bachelor Degree in
Information
Technology
AT004 Two principal passes in the following subjects: Physics,
Advanced Mathematics, Geography, Biology, Chemistry, or
Economics.
4.0 20 3