Biomedical Engineering

Despacito

Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
77
Reaction score
160
Nimepata taarifa miaka kadhaa ya nyuma DIT ilikua inatoa hii course. Naomba kujua kwa upana kidogo inahusika na vitu gani? Kwa wenye taarifa au utaalamu wa hii course pia ajira zake ziko vipi
 
Inahusika na vifaa tiba mkuu especially vya kieletronikia!
 
Inapatikana muhimbili pekee, inachukuliwa na PCM pkee
 
Nimepata taarifa miaka kadhaa ya nyuma DIT ilikua inatoa hii course. Naomba kujua kwa upana kidogo inahusika na vitu gani? Kwa wenye taarifa au utaalamu wa hii course pia ajira zake ziko vipi
Biomedical Engineering kwa level ipi? Diploma au Bachelor?
 
hapo hujaelewa nini

Bio?

Medical?

Engineering?
cjajua kama hujaelewa swal lang au labda unanitafsilia viunganishi vya neno biomedical engineering? Mkuu mm nmetaka upana kidogo inahusika na vitu gani hasa, ajira zake baada ya kuhitim na vtu kama hvo sio maana yake kwa kiswahili
 
Sio muhimbili tu mkuu, DIT,ATC,MUST wanatoa hiyo na zaidi ya yote ATC wanatoa bach za hiyo mambo

Kaka acha kupotosha wanajf. Umesoma TCU guidebook ya mwaka huu? Njoo na ushahidi Course hiyo ipo Muhimbili tu.
 
Labda Kam wameziongea lakini kulingana na TCU guidebook ATC hiyo course haipo

Undergraduate Admission Guidebook for 2020/2021 Academic Year
(For Holders of Form Six Qualifications)
16
Arusha Technical College (ATC), Arusha
S/N Programme Code Admission Requirements
Minimum
Institutiona
l Admission
points
Admission
Capacity
Programme
Duration
(YRS)
1. Bachelor Degree in
Computer Science
AT003 Two principal passes in the following subjects: Physics,
Advanced Mathematics, Geography, Biology, Economics or
Chemistry.
4.0 30 3
2. Bachelor Degree in
Information
Technology
AT004 Two principal passes in the following subjects: Physics,
Advanced Mathematics, Geography, Biology, Chemistry, or
Economics.
4.0 20 3
 
TCU wakati mwingine hawaorodheshi kozi zote mkuu, hilo nimelishuhudia sio Mara moja
 
Undergraduate Admission Guidebook for 2020/2021 Academic Year
(For Holders of Form Six Qualifications)
26
Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), Dar es Salaam
S/N Programme Code Admission Requirements
Minimum
Institutional
Admission
Points
Admission
Capacity
Programme
Duration
(YRS)
1. Bachelor of
Engineering in Civil
Engineering
DT001 Two principal passes in Physics and Mathematics.In
addition, a subsidiary pass is required in Chemistry at
A-Level with not less than four passes at O-Level.
4.0 35 4
2. Bachelor of
Engineering in
Computer Engineering
DT002 Two principal passes in Physics and Mathematics.In
addition, a subsidiary pass is required in Chemistry at
A- Level with not less than four passes at O-Level.
4.0 40 4
3. Bachelor of Engineering
in Electrical Engineering
DT003 Two principal passes in Physics and Mathematics.In
addition, a subsidiary pass is required in Chemistry at
A-Level with not less than four passes at O-Level.
4.0 40 4
4. Bachelor of
Engineering in
Electronics and
Telecommunication
Engineering
DT004 Two principal passes in Physics and Mathematics.In
addition, a subsidiary pass is required in Chemistry at
A-Level with not less than four passes at O-Level.
4.0 35 4
5. Bachelor of
Engineering in
Mechanical
Engineering
DT005 Two principal passes in Physics and Mathematics.In
addition, a subsidiary pass is required in Chemistry at
A-Level with not less than four passes at O-Level.
4.0 40 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…