Biomedical Technicians/Engineers wanasahaulika sana kwenye ajira za serikalini. Tatizo ni nini?

Uko nyuma sana! Hakuna unacho kijua kuhusu BIO-MEDICAL Engineer/Technician.

Tafuta maana ya Biomedical Engineering na majukumu ya BIO-MEDICAL Engineer/Technician halafu ndo urudi tuongee .Haraka hujui unacho kiandika .
Me hata sijataka kumjibu naona haelewi chochote
 
Vijana tuache mihemko tusifate upepo unavumaje wakati tunajua fika tumesoma kwa Wazazi kuuza Mashamba Na mbuzi huko madogo wakila mlo mmoja Leo mjuba unazungusha shanga chuo Na biomedical yako kwa mihemko tu!! Telecom Na Cs wakati zinaingia zilitisha sana madogo wakazipapukia mpaka kuwa Na cut off point kubwa sana Mlimani Leo ziko wapi!!? Kama unaona home hapaeleweki soma core courses hakika hutakosa pakujishika nazo core courses ni Electrical, Mechanical Na Civil
 
Uko sahihi kabisa
 
Hawapo ndo maana mashine zinaharibika mara kwa mara. Serikali ijitahidi angalau aajiriwe graduate mmoja kila halmashauri na wengine wadiploma kila hospitali.
Mbona wapo au wewe haupo Tanzania?kitengo cha ufundi kipo kila halmashauri na kila hospitali.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko nyuma sana! Hakuna unacho kijua kuhusu BIO-MEDICAL Engineer/Technician.

Tafuta maana ya Biomedical Engineering na majukumu ya BIO-MEDICAL Engineer/Technician halafu ndo urudi tuongee .Haraka hujui unacho kiandika .
Najua sana mana na ndugu nmesoma nao na wapo wanafanyakazi..kunatofauti gani kati yako na mtu wa eletronic engineering mpaka wewe udemand ajira za afya?..kisa una bio..mbona kuna mabio techologist wametulia wewe uko na kipya gani kwenye afya kuzidi nesi na dakitari mpka udemand ajira za afya..hivyo vifaa vinaharibika kila siku?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua sana mana na ndugu nmesoma nao na wapo wanafanyakazi..kunatofauti gani kati yako na mtu wa eletronic engineering mpaka wewe udemand ajira za afya?..kisa una bio..mbona kuna mabio techologist wametulia wewe uko na kipya gani kwenye afya kuzidi nesi na dakitari mpka udemand ajira za afya..hivyo vifaa vinaharibika kila siku?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Naisi kuna baadhi ya vitu uvijui au unazichanganya. Huko halmashauri na hospitalini kuna mafundi wanaofanya kazi ndogondogo za kufanya marekebisho upande wa real estates na hawana uelewa wala hawawezi kufanya kazi za kurekebisha wala kushauri namna sahihi ya kurekebisha mashine za hospitalini.

Mimi ni electrical na electronics engineer; nimefanya design na installations za MRI, CT Scan, X Ray mashines na zingine nyingi lakini kwa msaada mkubwa wa radiologist na biomedical engineers. Tukiacha ubishi watu hawa wanaoitwa Biomedical specialist wanahitajika sana kwenye ma hospitali zetu, serikali wanajaribu kuwaajiri lakini bado ni wachache sana.

Tatizo kubwa tulilonalo mpaka sasa hatuma wataalam wa biomedical wazoefu wanaojua sera ya wizara ya afya kuhusiana na vifaa wanazotumia ki sera zaidi. Nikiuliza mtoa mada kama wakati wa usomaji wake na kufanya mazoezi kwa vitendo alishawahi kufanya kwa vitendo namna ya kufunga mashine za MRI? CT Scan? X Ray m/c? Mamography? Fluoroscopy? za makampuni mbalimbali kama Philiphs, Toshiba au Siemens?
Na kama bado wakiajiriwa kule hospitalini watafanyaje kazi wakati amna wataaalam wa kuwapa training?

Ngoja niishie hapa.
 
Biomedical Engineering ni moja ya idea muhimu kwenye sekta ya afya. Ni idara kama Pharmacy, Radiology, Medical Laboratory, Dental n.k

Kwa Tanzania ni Idara changa sana katika hospitali zetu,Ilianzishwa na chuo cha DIT mwaka 2012 kwa ngazi ya diploma na wahitimu wake wa kwanza ni 2014, baadaye Arusha Technical collage waliofuata. Kwa sasa tuna wahitimu wa Bachelor of Engineering in Bio-medical and Electrical Engineering kutoka Arusha Technical college.

Tunavyo vyuo vitatu vinavyo toa ordinary diploma kwa sasa
1. DIT
2. MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (MUST)
3. ARUSHA TECHNICAL COLLEGE

Tunavyo vyuo viwili vinatoa shahada za awali za uhandisi wa vifaa tiba(Bachelor of Engineering in Bio-medical Engineering

Tunaowahitimu wengi tangu mwaka 2014 wameajiliwa na serikali intake tatu tu. Leo tuna zaidi leo hii tuna Intake zaidi ya 5 mitaani ajira za Leo za Afya zaidi ya 2000 Kada zote za Afya zimo isipo kuwa mafundi na wahandisi wa vifaa tiba.

Tatizo ni nini?

Mkuu tafuta kampuni inayofanya kazi ya installation ya vifaa vya hospitalini ufanye nao ata kwa kujitolea kwanza. Kuna vijana wanatoka hapo Kenya hawana elimu ya maana bali ni wajanja tu; wanapiga sana pesa kwenye hizi kazi.
Shida yetu ni kua tunatamani sana ajira za serikali japo madaktari wanalalamika kua biomedical walioajiriwa hawana msaada kwao kwani hawajaiva huko watokako na kibaya zaidi ni pia wamesoma kwa nadharia sana.
 
Naisi kuna baadhi ya vitu uvijui au unazichanganya. Huko halmashauri na hospitalini kuna mafundi wanaofanya kazi ndogondogo za kufanya marekebisho upande wa real estates na hawana uelewa wala hawawezi kufanya kazi za kurekebisha wala kushauri namna sahihi ya kurekebisha mashine za hospitalini.

Mimi ni electrical na electronics engineer; nimefanya design na installations za MRI, CT Scan, X Ray mashines na zingine nyingi lakini kwa msaada mkubwa wa radiologist na biomedical engineers. Tukiacha ubishi watu hawa wanaoitwa Biomedical specialist wanahitajika sana kwenye ma hospitali zetu, serikali wanajaribu kuwaajiri lakini bado ni wachache sana.

Tatizo kubwa tulilonalo mpaka sasa hatuma wataalam wa biomedical wazoefu wanaojua sera ya wizara ya afya kuhusiana na vifaa wanazotumia ki sera zaidi. Nikiuliza mtoa mada kama wakati wa usomaji wake na kufanya mazoezi kwa vitendo alishawahi kufanya kwa vitendo namna ya kufunga mashine za MRI? CT Scan? X Ray m/c? Mamography? Fluoroscopy? za makampuni mbalimbali kama Philiphs, Toshiba au Siemens?
Na kama bado wakiajiriwa kule hospitalini watafanyaje kazi wakati amna wataaalam wa kuwapa training?

Ngoja niishie hapa.
Safi sana!

Bila shaka wewe ni miongoni mwa vijana wa PRESHANT(Pasific Diagnostic Ltd) ambao mainly mana deal ni Model za Simens .

Binafsi wakati wa shule yangu nimekuwa trained well kwenye MRI,CT SCAN ,na Bio-medical Engineers wa Aga Khan Hospital (Eng.Shahzad )kwa sasa yuko Germany kwa kampuni ya SIMENS.

Nikiri tu Kuna madhaifu mengi sana upande wetu hasa kwenye mashine kubwa kama MRI , CT SCAN etc.
 
Unashangaa vizarani hawana sera ya mashine za kampuni gani wanazitumia au kwa vile wanapewa msaada kutoka kampuni mbalimbali hivyo wataalam wao wapo na utaalam hafifu sana.
 
Naisi kuna baadhi ya vitu uvijui au unazichanganya. Huko halmashauri na hospitalini kuna mafundi wanaofanya kazi ndogondogo za kufanya marekebisho upande wa real estates na hawana uelewa wala hawawezi kufanya kazi za kurekebisha wala kushauri namna sahihi ya kurekebisha mashine za hospitalini.

Mimi ni electrical na electronics engineer; nimefanya design na installations za MRI, CT Scan, X Ray mashines na zingine nyingi lakini kwa msaada mkubwa wa radiologist na biomedical engineers. Tukiacha ubishi watu hawa wanaoitwa Biomedical specialist wanahitajika sana kwenye ma hospitali zetu, serikali wanajaribu kuwaajiri lakini bado ni wachache sana.

Tatizo kubwa tulilonalo mpaka sasa hatuma wataalam wa biomedical wazoefu wanaojua sera ya wizara ya afya kuhusiana na vifaa wanazotumia ki sera zaidi. Nikiuliza mtoa mada kama wakati wa usomaji wake na kufanya mazoezi kwa vitendo alishawahi kufanya kwa vitendo namna ya kufunga mashine za MRI? CT Scan? X Ray m/c? Mamography? Fluoroscopy? za makampuni mbalimbali kama Philiphs, Toshiba au Siemens?
Na kama bado wakiajiriwa kule hospitalini watafanyaje kazi wakati amna wataaalam wa kuwapa training?

Mkuu tafuta kampuni inayofanya kazi ya installation ya vifaa vya hospitalini ufanye nao ata kwa kujitolea kwanza. Kuna vijana wanatoka hapo Kenya hawana elimu ya maana bali ni wajanja tu; wanapiga sana pesa kwenye hizi kazi.
Shida yetu ni kua tunatamani sana ajira za serikali japo madaktari wanalalamika kua biomedical walioajiriwa hawana msaada kwao kwani hawajaiva huko watokako na kibaya zaidi ni pia wamesoma kwa nadharia sana.
Ooooh Mimi sitafute ajira,Mimi ni sinior wako!
 
Unashangaa vizarani hawana sera ya mashine za kampuni gani wanazitumia au kwa vile wanapewa msaada kutoka kampuni mbalimbali hivyo wataalam wao wapo na utaalam hafifu sana.
Mhandisi wewe siyo mwanachama wa AMETT na huna sifa za kuwa mwanachama mpka hapo utakapo rudi shule tena Either ukafanye Master's degree in Bio-medical Engineering au Higher diploma in Medical Engineering (KMTC) ndipo utakapo jua Siri za Wizara juu ya vifaa tiba.

Nikukumbushe tu hiyo kampuni isikufanye ujione unaelewa sana !Kina Eng.Khuzema wamekuwa hapo tangu 2010 wamekuwa trained na Eng.Malack (Muhimbili)
 
Mkuu hakuna sehemu nimesema nipo kwenye kampuni hiyo wala kua najua sana mambo ya biomedical bali naonesha uzoefu niliyokumbana nayo pindi wizara ikipata mradi jinsi inavyopata shida ya ki ushauri kuhusiana na hizo mashine.

Tofauti na hapo tupo pamoja ndugu.
 
Back
Top Bottom