Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Kweli ngozi nyeusi ikipata hela ni matatizo! Wazungu huwa wanafungua vyuo na kuvipa majina yao au mambo kibao endelevu but this is too much ushamba!
Kweli ngozi nyeusi ikipata hela ni matatizo! Wazungu huwa wanafungua vyuo na kuvipa majina yao au mambo kibao endelevu but this is too much ushamba!
Na mavi yake nayo ya Gold ?
Angekua bongo ashavamiwaa zamani angekuta toilet imebebwaa yotew
hahahaaa!!
Dina, umenichekesha kweli! afu wanaiwahisha kwa sonara fasta!
bongo bana, anytime unalizwa!
natamani sana kuwa msanii wa hollywood!
japo pia natamani sana kuwa kama aliye kwenye avatar yangu!
Tanzania hii haina mipango thabiti kwa wenye vipaji kama mimi!
Ha!!chezea sie hapana utani kwa sonara fastaaaaaaaa na kua nishanunua na gari kama ya boss wake heaven on desert na kuweka heshima bar badala ya kwetu au vipi
Amefanya yake kwa hela yake hajakukopa na unauhakika gani kwamba hakuna alilofanya na hizo hela zake?!
Hata mimi ningekuwa na hela kama hiyo lazima ningefanya kitu cha kipekee ambacho kingenipendeza
Hao wazungu unaowaongelea inawezekana hujaona crib zao
Five star Stunna anatisha!
Richgang forever.