Birdman Shows Off His Gold Toilet

Birdman Shows Off His Gold Toilet

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Cash Money Records co-founder &Hip Hop tycoon Bryan Williams,aka Birdman showed off his solid gold toilet on his instagram page yesterday.
Check out
- Whiz Khalifa and his son all blinged up According to reports, the toilet is gold-plated, but the seat and the cover is solid gold and it cost $1million.
Money speaking...

Kweli ngozi nyeusi ikipata hela ni matatizo! Wazungu huwa wanafungua vyuo na kuvipa majina yao au mambo kibao endelevu but this is too much ushamba!

jamaa ana ata gari za dolla 2 million ,gari zenyewe kama ndogo kama toy,kwa ufupi jamaa ni mtu wa matumizi sana,uwa ana bet game za NBA ata kwa 1 million dollar na zaidi,yuko hivyo,ninachompendea uwa ananunua sana nyumba.

wasanii wengi wa cash money walioko chini ya cash money wanafanya vizuri hivo yeye kama CEO anazidi kupata pesa zaidi,na ameanza zamani sana matumizi toka Lil wayne akiwa mdogo
 
Kweli ngozi nyeusi ikipata hela ni matatizo! Wazungu huwa wanafungua vyuo na kuvipa majina yao au mambo kibao endelevu but this is too much ushamba!

Amefanya yake kwa hela yake hajakukopa na unauhakika gani kwamba hakuna alilofanya na hizo hela zake?!

Hata mimi ningekuwa na hela kama hiyo lazima ningefanya kitu cha kipekee ambacho kingenipendeza

Hao wazungu unaowaongelea inawezekana hujaona crib zao

Five star Stunna anatisha!

Richgang forever.
 
ngozi nyeusi tuna matatizo kwenye DNA zetu si bure
 
Pesa ni zake na ana uamuzi nazo nn cha kufanyia,nyie mnaolalamika mtafute za kwenu. Au mlitaka awaletee msaada ndio mumsifie ameweza kuzitumia vizuri?. Mtu hufanya kile akipendacho na wala sio mkipendacho.
 
Angekua bongo ashavamiwaa zamani angekuta toilet imebebwaa yotew
 
natamani sana kuwa msanii wa hollywood!

japo pia natamani sana kuwa kama aliye kwenye avatar yangu!

Tanzania hii haina mipango thabiti kwa wenye vipaji kama mimi!
 
hahahaaa!!
Dina, umenichekesha kweli! afu wanaiwahisha kwa sonara fasta!

bongo bana, anytime unalizwa!

Ha!!chezea sie hapana utani kwa sonara fastaaaaaaaa na kua nishanunua na gari kama ya boss wake heaven on desert na kuweka heshima bar badala ya kwetu au vipi
 
Last edited by a moderator:
natamani sana kuwa msanii wa hollywood!

japo pia natamani sana kuwa kama aliye kwenye avatar yangu!

Tanzania hii haina mipango thabiti kwa wenye vipaji kama mimi!

Unatamani ili uje uwe na Pesa za kuweka madini toilet au?????
 
Amefanya yake kwa hela yake hajakukopa na unauhakika gani kwamba hakuna alilofanya na hizo hela zake?!

Hata mimi ningekuwa na hela kama hiyo lazima ningefanya kitu cha kipekee ambacho kingenipendeza

Hao wazungu unaowaongelea inawezekana hujaona crib zao

Five star Stunna anatisha!

Richgang forever.

Ni kweli ungekuwa na hela ungefanya kitu kinachokupendeza.
Ila hapo ndo inapokuja tofauti ,wakati Birdman kinachompendeza ni ku*ya kwenye gold,billgates na Rockfella wao kinachowapendeza ni kudonate hela zao kwa mirad ya afya dunia nzima.

Na hicho ndicho kinachotufanya baadhi yetu tuone kuwa huo ni ushamba tu.
 
Back
Top Bottom