MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kwa kipindi Cha miaka minne nimekuwa nikifanya utafiti mdogo na muhimu, ambapo nilifanikiwa kuhoji watu 500. Pamoja na mahojiano hayo pia nilikula sehemu 100 tofauti tofauti.
Katika hitimisho, nimefanikiwa kukubali kabisa pasipo shaka kuwa pilau na biriani misifa wako ligi mbili tofauti, pilau anacheza ligi kuu na mara kadhaa huwa anacheza ligi ya mabingwa wakati biriani anacheza ligi daraja la nne.
Biriani anabebwa na sifa lakini hamna kitu kabisa.