MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Ukimaliza ule ugali maziwa ulaleKwa kipindi Cha miaka minne nimekuwa nikifanya utafiti mdogo na muhimu, ambapo nilifanikiwa kuhoji watu 500. Pamoja na mahojiano hayo pia nilikula sehemu 100 tofauti tofauti.
Katika hitimisho, nimefanikiwa kukubali kabisa pasipo shaka kuwa pilau na biriani misifa wako ligi mbili tofauti, pilau anacheza ligi kuu na mara kadhaa huwa anacheza ligi ya mabingwa wakati biriani anacheza ligi daraja la nne.
Biriani anabebwa na sifa lakini hamna kitu kabisa.
BasmatiWe mshamba wa wapi unauliza watu wanapikia mchele wa mbeya..labda biryan na wali lakini sio pilau.
Pilau ni ovyo na sio kila mtu anakula yaani Yale maviungo tu ni madogo ndo wanapenda ila halina mzuka.
Tafuta biryani ni mjumuiko wa mchele wa "Basmart" sio mnaolima kweny mitaro na mifereji huko mbeya...Mchuzi wa biryani ukiwa na nyama za kusaga ,na Kuna vitu kibao mpaka tende mbivu zile zinawekwa, ndo biryani sio mnaopika uchochoroni.
Unauliza watu ambao wanapikia sijui mchele wa mikate[emoji117][emoji849] we wakuja nn!!
Naishi Zanzibar nimekula Biriani nyingi Sana ila ukweli ni kuwa Pilau lipo juuWe mshamba wa wapi unauliza watu wanapikia mchele wa mbeya..labda biryan na wali lakini sio pilau.
Pilau ni ovyo na sio kila mtu anakula yaani Yale maviungo tu ni madogo ndo wanapenda ila halina mzuka.
Tafuta biryani ni mjumuiko wa mchele wa "Basmart" sio mnaolima kweny mitaro na mifereji huko mbeya...Mchuzi wa biryani ukiwa na nyama za kusaga ,na Kuna vitu kibao mpaka tende mbivu zile zinawekwa, ndo biryani sio mnaopika uchochoroni.
Unauliza watu ambao wanapikia sijui mchele wa mikate[emoji117][emoji849] we wakuja nn!!
YeapBasmati
Mi pilau sio kula hata kuonja yaani sipatani nalo kabisa hata kuligusa either kuumwa na tumbo au kuharisha kabisa.Naishi Zanzibar nimekula Biriani nyingi Sana ila ukweli ni kuwa Pilau lipo juu