Hapo kwenye kukaanga vitunguu umeniacha kidogo..unasema niweke maji tu?
Weka maini baada ya kukaanga kitunguu...
Na utakayoweka nyanya na kopo weka ile supu ya maini ...
Thnx..nimekuelewa..ntakuletea mlejesho
Thomu ni kitunguu saumu kwa kizungu ni garlic...
Zafarani kwa kizungu ni suffron hiyo hapo chini kwa picha
Asante kweli unajua kiswahili. Hii zafarani sidhani kama naifahamu kwa kweli
Dau gani wewe babu?[/QU
Number haijatimia mbona
Weka maini baada ya kukaanga kitunguu...
Na utakayoweka nyanya ya kopo weka ile supu ya maini ...
farkhina umenifanya nimeze nusu lita ya mate kwa jinsi ulivyonikumbusha utamu wa wali wa biriani uuuwiii. Itabidi nijifunze kupika maana huwa najialika kwenye shughuli zenye hiyo makitu. Nisaidie umeniacha namba 6 sijaelewa vizuri
Namba gani
farkhina mpenzi thanks for this!
Sikujua unaweza tumia maini pia kama mboga?!
Halafu, ni mchele gani mzuri zaidi kwa biriani?!, nimewahi kulia basmati rice na ilikuwa nzuri kupita maelezo sijawahi jaribu na mchele tofauti sijui kama itakuwa nzuri au la?!

Nunua mchele unaitwa tilda kama hujaujua nkutumie mfuko wake