- Thread starter
- #41
Nasubiri kukuche vizuri niende maeneo hayo leo. Ila naomba ni PM spices ambazo ni vzr nikawa nazo ndani kwa ajili ya mambo ya maakuli mbali mbali sio based on pilau tu.
Kuna mchanganyiko wa spices hapa yaani unatengeneza wenyewe huo unaweka kwenye pilau mchuzi biriani katlesi ila tu si kwenye chai...