Biriani ya Samaki



Namna ya kutaarisha

1.Kaanga kitunguu maji hadi kiwe rangi ya kahawia

2.Weka kitunguu saumu na tangawizi

3.Weka tuna koroga vizuri

Dada @farkhina hiyo step #3 tuna ndio nini.?!
Nataka nimshawishi wifiyo apike hii kitu,ila sasa hiyo term ]tuna imenipiga chenga.
 
Last edited:
1.Samaki wa kipande 1/2 kg

2.Mchele 1/2 kg

3.Vitunguu maji 2

4.Carrot 1 kubwa ikwaruze

5.Mdalasini 1 teaspoon

6.Bizari ya pilau 1/2 tablespoon

7.Nyanya ya kopo
farkhina, hili darsa lazima weekend hii nilifanyie kazi manake huyu Swahibu angu wa Kipemba huku mtaani keshanishinda. Yaani Uswahilini Biriani unauza elfu 7; aaaargh-- sema dah, ana vitu flani hivi amazing!
 
Afadhali hii viungo sio lukuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…