Biriani ya Samaki

Nadhani ninaipenda zaidi biriani kuliko pilau.

Wiki hii lazima nitengeneze seafood biriani.
 
Hahahahah upike nyingi tu hata me napenda biriani zaidi ila pawe na salad pembeni
 
Mie napenda pilau zaidi, since utoto up to now, ila nisilipike mimi.

Chakula upikacho mwenyewe mimi naona kama huwa hakinogi ukikila siku hiyo hiyo.

Nadhani ni kwa vile unakitayarisha mwanzo mwisho.

Ndo maana wakati mwingine huwa nikipika msosi siuli siku hiyo hiyo.

Naula kesho yake na unakuwaga mtamu sana.
 
Ni kweli aisee, ila sasa kikilala kinakuwa kiporo tena[emoji134]
 
Chakula upikacho mwenyewe mimi naona kama huwa hakinogi ukikila siku hiyo hiyo.

Nadhani ni kwa vile unakitayarisha mwanzo mwisho.

Ndo maana wakati mwingine huwa nikipika msosi siuli siku hiyo hiyo.

Naula kesho yake na unakuwaga mtamu sana.

Nahisi unakua umeshibia harufu jikoni me hiyo ilikua zamani ila siku hizi napika nkimaliza napakua tena nakienjoy hasa
 
Yaani acha kabisa, kiporo ni kitamuuu ila sasa ni majanga kwa afya.

Hakina neno kikilala usiku mmoja muhimu ni jinsi gani unakihifadhi unatakiwa utafute vibakuli maalum vyenye ufuniko kwa ajili ya left overs muulize kaka Nyani ngabu akupe tips zaidi
 
Nahisi unakua umeshibia harufu jikoni me hiyo ilikua zamani ila siku hizi napika nkimaliza napakua tena nakienjoy hasa
Duuuh! Mie bado siwezi aisee, nikishakipika siwezi tena kula, kesho yake ndio nakienjoy.
Kuna vyakula vikilala vinazidi utamu cha kwanza chapati
Aiseee chapati sijawahi, kumbe! I'll try this
Hakina neno kikilala usiku mmoja muhimu ni jinsi gani unakihifadhi unatakiwa utafute vibakuli maalum vyenye ufuniko kwa ajili ya left overs muulize kaka Nyani ngabu akupe tips zaidi
Oooh na ukikipasha vizurii yaani moto uingie vizuri si kinakuwa poa tu?
 
Nimebadili jina
Naomba unitajie jina unalotumia pliiiz i love cooking siku iz ad najishangaa yani nimekua nagoogle mapishi mbalimbali changamoto ni recipe ambazo nyingine sijawahi ata kuona [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…